Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila kitu kina mwisho wake, historia yake itafika tu
Acha awatafune hakuna namna mana asingekua na hela wanawake wazuri angewaita mashemejiNgoja nipunguze stress za kupotea Mo dewji (nampenda sana huyu jamaa)na kuuguza miye humu jf
Aliachwa Aunty,Akala Wema mahaba yakawa km yotee wakagombana akaenda kutoka na jokate enzi hizo Wema na jokate mashosti,ushosti ukaisha....mpk akaenda kumchamba Jokate kwa Zamaradi Wema alienda na Uwoya siku hyooo...
Akamtema Jokate akarudi kwa Wema tena akamla Uwoya mpk shigongo akawapiga picha za hotel waliyolala...Ushoga ukafa kati ya Wema na Uwoya...
Mondi akaona haitoshi akamuacha Wema akaja kumla Penny ambae na Wema walikua wanavaa Sare sare ushosti kama wote..ndio enzi hizo IG inaanza Penny ndo binti wa kwanza kutukanwa kwenye mitandao ya kijamii kama sikosei kwa sababu ya bwana na ndo mambo ya team yakaanza wakaachana mondi akarudi kwa Wema tena walienda kurudiana Chinaaa picha zikavujaa...Penny akaumacha mondi ...mwishowe sasa ushoga ukafa....!!!!
Alivyoachana na Wema akaja kwa Zari
Kwa Zari akamla Huddah,huddah na Zari ushoga ukafa...huku anamla hamissa,officiallylin na tunda(japo hawana ushoga na Zari)
Zari kamtema akawa na Hamissa kw hamissa katemwa anamla shoga ake hamissa anaitwa kimnana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kimnana ndo shemela mpya kwa diamond kwa sasa na familia yaonekana imempitisha rasmi!!!!!
Sijajua anaonaga nini kwa mashemeji zake mpk awe anawala jamaniii!!!
Haya sasa nasubiri team sasa zianze matusi!!!
Huo ndio ukweli mkuuU wish
Jamani jamani naomba namba ya mama hamisaHuwa siamini kama Aunty alitoka na mond.
Naona ujamtaja Wolper hapo!!
Hako ka Kimnana kana body kalii
Mkuu usinifurahishe [emoji23][emoji23] ya mama hamissa au ya Hamissa?Jamani jamani naomba namba ya mama hamisa
Kweli kabisa asipowatafuna watamuita joka la kibisa[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2] kwa kweli and the time is now.. Nobody see tomorrow!!!
Mama yake mana namuelewa kuliko mwanae nataka anidatishe nisahau familiaMkuu usinifurahishe [emoji23][emoji23] ya mama hamissa au ya Hamissa?
Mimi ig sipo nko jf n twitter tu[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji2] ya nini humu sasa!!!nenda IG utapata
[emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mungu anakuona ujueMama yake mana namuelewa kuliko mwanae nataka anidatishe nisahau familia
Malipo mazuri kwa euro[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]utanipa shilingi ngapi nikikuletea cha udalali...boss!!!
Jamani yule mana anaonekana fundi kwenye 6×6[emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Mungu anakuona ujue