Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Kama huyo wa kwenye ID ni wewe ambaye miguu imekaa kushoto tupu ,changanya na huo mwili wako kama boksi ataanzaje kukupenda ??,si itakuwa kihoja cha mwaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Sawa kaka nakubali Mimi ni mbaya haswaa...!!nakubali wala sijabisha..mwili wangu kama sanamu la Michelin[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Una mwili mbaya sana, kiuno na tumbo havijulikani vipo wapi, yani vimekusanyana kama tenga la nyanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] badili tu hiyo avatar unajichoresha sana na huo mwili kama pipa.
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] wala sibadili nshajikubali Mimi...!!!ahsante kwa hizo sifa....Mwenyezimungu anasema ameumba mwanadamu ktk umbile lililo bora kabisaa...najivunia kwa hiloo!!
 
Nimestuka hapo AKAMLA Irene UWOYA ............Huyu Uwoya si ndie anayesemwa alitembea na Jamaa aliyefariki kwa NGOMA?
 
Wala hakuna aliyenisifia sijakataa uliyosema nimekubali kila ulilosema hance sijabisha..[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najikubali nilivyo na umbo langu baya
Ya kwangu ndio hayo , nimekuchana.

Bahati nzuri siku hizi Gym zipo kila kona, nenda angalau ukapunguze kitambi hiko maana ni kichekesho.
 
Ya kwangu ndio hayo , nimekuchana.

Bahati nzuri siku hizi Gym zipo kila kona, nenda angalau ukapunguze kitambi hiko maana ni kichekesho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ahsante kunipa ukweli usiogopee....kua na amani tuu!!

Wala sendi gym ntabaki na tambi langu na mwili wangu mbayaa!!![emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Kuonyesha sina chuki na like nakupa
 
Kamla mpk hoteli waliyofikia na chumba tulionyeshwaq[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16]
Kama ni hivyo ni KAZEZE ni KAZEZE ilikuwa saa kumi kasorobo sheikh mbwana yupo msikitini na baadhi ya waamini akiwa anaadhini allah akbar allah akbar akiwa anamaanisha mungu mkubwa mungu mkubwa.

Kijana mdogo mwenye kipato pili ana kibito TINTED mziki mzito alikuwa ana fujo jumamosi ya sabato...NI_KAZEZE.
 
Ninakupa sifa mkuu..kwa kuonyesha ustarabu wa hali ya juu!..Angekuwa mwingine..moto ungewaka..na ban juu!..umeutendea haki u GT wako!..salute!
 
Uswahilini matola hao eehh!!au akina !!!

GWM walioimbaa....[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]v
 
Wala hakuna aliyenisifia sijakataa uliyosema nimekubali kila ulilosema hance sijabisha..[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] najikubali nilivyo na umbo langu baya
[emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] wala sibadili nshajikubali Mimi...!!!ahsante kwa hizo sifa....Mwenyezimungu anasema ameumba mwanadamu ktk umbile lililo bora kabisaa...najivunia kwa hiloo!!
Sawa kaka nakubali Mimi ni mbaya haswaa...!!nakubali wala sijabisha..mwili wangu kama sanamu la Michelin[emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa kaka...sina hadhi Mimi!!!nakubali!
Kua na amani tuuu!!!
Umemjibu kiupole
 
Sasa si unajipendekeza ,lakini ukweli umeupata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…