King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Huu wimbo umenikaa kichwani na umeniogopesha sana kuhusu ngoma yaani kila demu mbele yangu namuona ana ngoma!!!Naukumbuka huu wimboo!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wimbo umenikaa kichwani na umeniogopesha sana kuhusu ngoma yaani kila demu mbele yangu namuona ana ngoma!!!Naukumbuka huu wimboo!!
Ukweli mtupuI.!!![emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji11]halafu nna amani balaa!!!Kukaa kimya jibu La mjinga
Ukiliwa utupe mrejesho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] msanii mkubwa yule!!kufatiliwa masti
Idiot.Hauna hadhi hiyo ya kumkataa Platnumz.
Kwanza Platnumz mbali sana, hauna hadhi hata ya kumkataa Lukamba sembuse Platnumz.
Boya kweli yaani. Wewe unamsemeaje mwanaume mwenzio tena kupitia judgement ya avatar za JF?Kama huyo wa kwenye avatar ni wewe ambaye miguu imekaa kushoto tupu ,changanya na huo mwili wako kama boksi ataanzaje kukupenda ??,si itakuwa kihoja cha mwaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Lulu sukuma ndaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23]Sukuma ndani Wema Sepetu, sukuma ndani Wolper, sukuma ndani Aunty Ezekiel, sukuma ndani Penny, na yule Zari anaecheza chikichi chikichi chikichi eee nae sukuma ndani hata yule Mobeto aliepelekewa wali kwenye mustin nae sukuma ndani.
Nigga this shit so damn true,,,,Fact so Legit!Some of you guys don't know that you are actually single, your girl is dating your car and money and not you.
Bado wewe tu ticha kuliwaNgoja nipunguze stress za kupotea Mo dewji (nampenda sana huyu jamaa)na kuuguza miye humu jf
Aliachwa Aunty,Akala Wema mahaba yakawa km yotee wakagombana akaenda kutoka na jokate enzi hizo Wema na jokate mashosti,ushosti ukaisha....mpk akaenda kumchamba Jokate kwa Zamaradi Wema alienda na Uwoya siku hyooo...
Akamtema Jokate akarudi kwa Wema tena akamla Uwoya mpk shigongo akawapiga picha za hotel waliyolala...Ushoga ukafa kati ya Wema na Uwoya...
Mondi akaona haitoshi akamuacha Wema akaja kumla Penny ambae na Wema walikua wanavaa Sare sare ushosti kama wote..ndio enzi hizo IG inaanza Penny ndo binti wa kwanza kutukanwa kwenye mitandao ya kijamii kama sikosei kwa sababu ya bwana na ndo mambo ya team yakaanza wakaachana mondi akarudi kwa Wema tena walienda kurudiana Chinaaa picha zikavujaa...Penny akaumacha mondi ...mwishowe sasa ushoga ukafa....!!!!
Alivyoachana na Wema akaja kwa Zari
Kwa Zari akamla Huddah,huddah na Zari ushoga ukafa...huku anamla hamissa,officiallylin na tunda(japo hawana ushoga na Zari)
Zari kamtema akawa na Hamissa kw hamissa katemwa anamla shoga ake hamissa anaitwa kimnana...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kimnana ndo shemela mpya kwa diamond kwa sasa na familia yaonekana imempitisha rasmi!!!!!
Sijajua anaonaga nini kwa mashemeji zake mpk awe anawala jamaniii!!!
Haya sasa nasubiri team sasa zianze matusi!!!
Weka pichaHuwa siamini kama Aunty alitoka na mond.
Naona ujamtaja Wolper hapo!!
Hako ka Kimnana kana body kalii