Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Huyu ndiyo Diamond, ukimuacha anakula shoga yako kwanza

Unadhani Diamond anafanya umalaya kwa bahati mbaya?... anachofanya ni kusambaza shoti za umeme .... Siku watu wakimshtukia ni kilio nchi nzima
Kabisa kwa mtu anayejali afya yake asingekuwa anatembeza rungu hovyo hovyo kama anavyofanya Dai maana nimeona kuna dada alikuwa anahojiwa kwamba alikuwa na dai kwa siku mbili kesho yake akamuacha akachukua demu mwingine yaani dai anatembeza rungu tu kama comrade kipepe.
 
Mbaya zaidi jamaa anawala TIGO kashawaharibu wengi sana viraparapa.
 
Ila ile ya Wema na

Uwoya kwenda kwa Zamaradi haikua kwa ajili ya Jokate ilikua kwa ajili ya
Wolper... walimtukana sana kua
mshamba na kejeli kama zote
naikumbuka hiyo siku maana
niliwashusha sana hadhi.
Blender ndo nini? Msagaji?

Penny kutoka na Mondi ilikua revenge ya Wema kutoka na bwana wa Penny, halafu huyu Penny nae ni blender ya jiji ila kimya kimya, lol.

Aunty hajawahi kutoka na Mondi
 
Nasikia eti wanawake wanapenda sana hela....
inawezekana maana mpaka mtu anasema hivyo anauzoefu na huo uzoefu mtu anaupata kwa watu wa karibu labda ameona kwa mama yake mzazi , dada yake shangazi yake au bibi yake mke wake au binti yake si rahisi kuongelea usichokijua
 
Kila kitu kina ukomo wake, ukipitaliza ukomo kitu kinaharibika.

Hawa wanaopenda sana hela, wapende ila wawe na mipaka hasa kwenye namna za kuzitafuta.
 
Diamond alianza kuwa na Hamisa kabla ya hao wote uliowataja, wakati anamla Hamisa kimya kimya wakati huo huo akaanza kumla Jackline Wolper ,enzi hizo Wolper star sana na Diamond alikuwa bado underground ,baadaye akamtosa Wolper akaanza kumtafuna Wema, wakati anamtafuna Wema akaanza kumtafuna Aunt Ezekiel, wakati anamtafuna Aunt Ezekiel akaanza kumtafuna na Uwoya pia, baadaye akawapiga wote chini akabaki na Wema ,mara paaap Penny akajitokeza ,Diamond akampitia na kumbwaga , alipoichoka K ya Penny akarudisha majeshi kwa Wema, kipindi anamtafuna Wema , Jokate akajipitisha, Diamond akatafuna , Kipindi yupo na Jokate , Avril akajipitisha ,Diamond akafumua bila huruma halafu akampiga chini akarudisha majeshi kwa Wema ,wakati yupo na Wema Zari akajipitisha Mondi akala ..........List lipo ndefu sana.......
Dah kumbe Diamond katuwakilisha vyema kimataifa; Zari, Huddah, Avril (huyu mtoto namuelewa) wote kapita?[emoji51]
 
ngoja awale hata wewe ungekuwa na ukwasi kama yeye ungewala tuu shemeji hawanaga noma, ukimwambia ntakufanyia kama yule rafiki yako wanasema ni wewe tuuu
 
Kabisa kwa mtu anayejali afya yake asingekuwa anatembeza rungu hovyo hovyo kama anavyofanya Dai maana nimeona kuna dada alikuwa anahojiwa kwamba alikuwa na dai kwa siku mbili kesho yake akamuacha akachukua demu mwingine yaani dai anatembeza rungu tu kama comrade kipepe.
Halafu hata ndomu inaonesha hatumii ndo maana alikuwa anasema kina Wema na Penny walitoa mimba yake, just imagine 'mlupo' kama Wema unauza mechi...
 
Hapo tatizo sio huyo jamaa,_tatizo ni hao wanaokubali kuliwa wakati wakijua ni shemeji shemeji,,,
Inaonesha wanakuwa wanatamani ila fursa inakosa
Kwahiyo wanajisikia huru anapoondoka waliyemuogops. Saa nyingine walikuwa mashoga ila walikuwa wakimuonea wivu kwa jinsi wanawake mlivyo.
 
Back
Top Bottom