Huyu ndiyo Haji Manara El Bugatti mtoto wa comrade Sunday Manara

Pale Jangwani siyo sehemu rafiki kujenga kiwanja cha mpira. Kuanzia kelele, ufinyu wa eneo pamoja na masuala ya maji. Pia ni rahisi zaidi kupata eneo la ziada huko Kigamboni kuliko Kariakoo.
 
Kwahiyo ekari 12 zinaweza kupatikana jangwani na sio kigamboni.
 
Huyu Takadini akija kujibiwaa aanze kulia lia mtandaoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Tena mie naona hawampatii vizuri, huyu angekutana na walio vurugwa zaidi yake mbna angefyata ngebee.
 
Sijawahi kumkubali Manara hata siku moja lakini huyo Kazumari kama anachotuhumiwa na Manara amefanya kweli unapata wapi ushujaa wa kujibu?

Ni unafki mtupu, wote walikwenda ikulu kwa sababu ya Yanga na Hakuna aliyeomba Udhuru zaidi ya waziri Pindi Chana peke yake aliyewakilishwa na MwanaFA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…