Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo ekari 12 zinaweza kupatikana jangwani na sio kigamboni.Anaandika Haji Manara.
Hii Nchi Uhuru wa kujieleza umekuwa wa hovyo sana na wengi wetu hatuumii vzuri, Imagine leo kwenye kituo kile kile ambacho kila uchwao ni negative za Yanga tu, na Mpuuzi yule yule ambae njaa imemshamiri hadi usoni, eti wanampangia hadi Rais juu ya Matumizi ya Ardhi ambayo ipo chini yake kwa mujibu wa sheria.
Yaani Mtu anaepata Zero hadi mitihani wa FIFA anajipa uhalali tena kwenye Radio kuhoji juu ya Mamlaka ya nchi, "What is the work of agents of FIFA ?"...
Kashindwa kujibu, leo atuelekeze Club Kama Yanga!! na Mabosi zake wapo wapo na wanaona sawa, imagine Rais anaombwa jambo ndani ya Ikulu na anatoa majibu positive, kisha kituo cha Radio kinakaa kumpangia Mh nini aamue.
Anaposema tukajenge Uwanja Kigamboni kisa tulipewa Ekari saba ( lile zezeta limesema hekari) hajui hata Standards za FIFA , Uwanja wa zaidi ya Washabiki 15,000 hadi 20,000,haupaswi kupungua ukubwa wa Ekari 12, ambazo sisi hatuna Kigamboni, ndio maana tukaomba ziada ya eneo Jangwani ili tujenge Uwanja wetu katikati ya Jiji.
Kigamboni tutaachia Sports Training yenye facilities zote na Hostel kubwa ya kisasa.
Mtu ambae miaka michache tu nyuma alikuwa kwao anauza Ming’oko na anaekaa nyumbani kwa Naa kwa Hifadhi, amuone Injinia Msomi Hersi @caamil_88 hana ajualo kisa anasikika karika Radio inayoishia Samvula Chole.
Kweli Yanga ielekezwe na Muuza dawa za Ngono wapi Uwanja wake ujengwe?
Halaf anajisifu eti alialikwa Ikulu Wakati Mwaliko ni wa Dstv, tufanye kaalikwa kweli yeye,bila Yanga ikulu Si angekuwa anaiona katika Picha tu.
Halaf kesho yake tu unaenda kuhoji Maamuzi ya Rais Redioni na mitandaoni ili tu upate attentions, bila kupost negative za Yanga na kuandika kuhusu Bugati,.comment moja dadadeki, hadi aibu.
Wanayanga endeleeni kumpuuza na chuki zake yy na Radio yake,,tusubiri ombi letu kwa Mh Rais na Inshaallah litakubaliwa, tujenge New Kaunda International Stadium,Yeye wakati huo atakuwa Chikandanda FM kwao,,kwa sababu hao Mabosi zake hawataendelea kuvumilia magomvi na Club kubwa kama Yanga.
Bata ambae hawezi kutengeneza hata sentensi moja ya English ampangie Rais wa Nchi au Rais wa Yanga!!! Kisa alikuwa Muuza Ming’oko kwao,,Stupid.View attachment 2648148
Jemedari SaidiImehusishwa ming'oko hapo ambayo ni miongon mwa vyakula vinavyoliwa mikoa ya kusin
Inaonekana huyo anaesemwa ni mtu wa kusin
okusihisi yeye
EtiHuyo ni chombo ya mzee Tozi wa bandarini huoni ukaaji wake anakalia tako moja tu
Kwamba?Huyo ni chombo ya mzee Tozi wa bandarini huoni ukaaji wake anakalia tako moja tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliPilau limeleta kizaazaa mjini [emoji1787]wanaanza kutafutana uchawi[emoji848]
Si ndo maana wanaachana kila leo, wanawake watupu wataoanajee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Imagine mwanamume kama huyu anakuwa na mke! Si mke atasalimu amri kwa mijimaneno!
Cocastic hebu niambie ukweli, Ma..na..ra anakobolewa?Si ndo maana wanaachana kila leo, wanawake watupu wataoanajee?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo vileEti
Kwamba?
Ni kweliCocastic hebu niambie ukweli, Ma..na..ra anakobolewa?
Hukosagi fununu wewe[emoji16]
Dah!!! Bongo nyoso ndo hii sasa!!Ni kweli
Binti Kazumari.Anasemwa kwa mijineno yote hiyo ni nani?
AiseeeeeeeNi kweli
Sijawahi kumkubali Manara hata siku moja lakini huyo Kazumari kama anachotuhumiwa na Manara amefanya kweli unapata wapi ushujaa wa kujibu?Huyu Takadini akija kujibiwaa aanze kulia lia mtandaoni, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tena mie naona hawampatii vizuri, huyu angekutana na walio vurugwa zaidi yake mbna angefyata ngebee.
Huyo ndio sample halisi ya Mzaramo, mmechelewa kumjuwa Haji, wengi hamjahi kumjuwa Haji Manara wa CCM.Imagine mwanamume kama huyu anakuwa na mke! Si mke atasalimu amri kwa mijimaneno!