GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kudadadeki.....!Matombo MOROGORO kuna mzee ana watoto 89
Kuna watu wanambato wewe!Kudadadeki.....!
Nimecheka hadi basi....!Kuna watu wanambato wewe!
Sio poa mkuu, watoto 34 au 89 bado wale walioishia bafuni. Noma sanaNimecheka hadi basi....!
π€£π€£π€£π€£Kuna watu wanambato wewe!
Geita. Mamia ya wananchi wameshiriki maziko ya aliyekuwa Diwani wa Kamena Halmashauri ya mji wa Geita, Peter Kulwa (67) aliyefariki dunia Juni 13, 2024 na kuacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10.
Kwa mujibu wa risala iliyosomwa na mjukuu wake, Makutano Sadick, diwani huyo alianza kuugua kisukari Mei 2002 na kupatiwa matibabu katika hospitali mbalimbali nchini na Juni, 2024 akiwa anaendelea na matibabu Hospitali ya Kamanga iliyopo Jijini Mwanza, mauti yalimfika.
Alisema babu yake ameacha watoto 34, wajukuu 129 na vitukuu 10.
Chanzo: mwananchi_official
Ngoja nami pia sasa nishindane nae kwani mpaka sasa nikiwahesabu Tanzania na Nje wanafikia kama 13 au 15 fulani.
"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives "Hakuna watu wanaongoza kuendekeza ngono kama wanaume maskini! Na wanakamia kusema eti ni nature. Mxiew
Sio kuendekeza bwana wewe.Hakuna watu wanaongoza kuendekeza ngono kama wanaume maskini! Na wanakamia kusema eti ni nature. Mxiew
Na wanajisifu kabisa"Black people are good for nothing apart from indulging in sex and having so many wives "
Pieter W. Botha, a former President of South Africa during the Apartheid era.
Na mnavyojuaga lawama. Mnazaa kama kuku ila kulea kwa kaka zenuSio kuendekeza bwana wewe.
Sie tunatomber kwa sababu ndio starehe tunayomudu. Hatuna hela za kuweka dstv sijui azam tv wla kwenda sijui dubai. Umeme wenyewe laki tatu kuunganisha hatuna. Ikifika saa mbili wote tupo vyumbani utaachaje kutomber my wife.