Huyu ndo bondia wa kike bingwa wa Dunia kutokea Kenya akisifiwa kwa muonekano wake

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Bondia wa kike Zarika, Bingwa wa uzito wa Light weight Afrika.
 
Sasa ni nini cha ajabu hapo? Si ni bondia? Alafu ni bingwa wa super bantam weight duniani, sio lightweight. Najua umemtamani sana wewe mwanaume wa Dar.
 
Huyu bondia huwa napata shida sana kumtofautisha kama ni She au he kama ilivyo kwa Caster Semenya wa South Africa.
Pia sauti yake ni ya kidume dume 98%.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna sehemu niliona mkiwaponda hawa mabingwa wenu. Hongera zenu watani wetu, kwa kuponda hakuna kama nyinyi duniani.
 
Huyo akikwambia leo nakaa juu mimi wewe tulia chini usibishe, utatoka na nundu za kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…