Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,822
Bondia wa kike Zarika, Bingwa wa uzito wa Light weight Afrika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah.. Bosi picha yake umeiona? [emoji41]Sipati picha siku mume wake akikataa kuzama chumvini
Kafanan na Hassan MwakinyoDah.. Bosi picha yake umeiona? [emoji41]
Sent using Beretta ARX 160
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kafanan na Hassan Mwakinyo
wewe unamuonaje mkuu?
Hao wanaume wa dar hao wamkoani huwez kumkuta mlaini hivyoo hahahahKuna sehemu niliona mkiwaponda hawa mabingwa wenu. Hongera zenu watani wetu, kwa kuponda hakuna kama nyinyi duniani.![]()
Atatoka na ngeu za kutoshaSipati picha siku mume wake akikataa kuzama chumvini
Pengine wewe u mmoja wao.Hao wanaume wa dar hao wamkoani huwez kumkuta mlaini hivyoo hahahah
Sent using Jamii Forums mobile app