Huyu ndo DJ wangu bora kwa sasa

Huyu ndo DJ wangu bora kwa sasa

screpa

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2015
Posts
10,857
Reaction score
15,866
Kama unabisha nitajie DJ anayejua kuichezea mixer kuliko huyu
Screenshot_20230301-184906_Instagram.jpg
 
Kama unabisha nitajie dj anayejua kuichezea mixer kuliko huyuView attachment 2533947
Ana haraka hajatulia, hana flow nzuri ya playlist anapiga piga tu! Hizo haraka zake zinataka talent ili kila kitu kiwe perfect sio ili mradi ume mix tu. Mixing ni art, Playlisting ni kipaji pia. Atatisha akivua u star na kujifunza vitu basic wanavyodharau.

Ni rahisi kupigia walevi wenye vibe kwenye mabar lakini ukitaka kujua kuna ya kujifunza ukutane na watu wenye akili zao na unatakiwa uwatoe kwenye siti waende kwenye dance floor! Jasho linaweza kukutoka kwenye kucha [emoji2]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Anaitwa Dj SummerTz yupo East Africa rafio&TV ila ni wa kawaida sana, hana maajabu. Huwa anakujaga kupiga pale micassa lounge anazidiwa hadi na wale Dj local wanaopiga pale daily, ajipange upya
Kama anazidiwa wanamuita wa nini?[emoji56]
 
Back
Top Bottom