Huyu ndo DJ wangu bora kwa sasa

Huyu ndo DJ wangu bora kwa sasa

Ebanaee... Huu motooo..[emoji95][emoji95][emoji817][emoji817][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]

Kipindi hiko Hizo ngoma Kenya walikuwa wameitawala East Africa.. N sidhani kama huyu Dj alikuwepo ktk fani hii tayari. He is a talent...
Dj Kim au Mafuvu
 
Madj wengi sikuhizi wameinvest kwenye makelele wenyewe wanaita 'kuhype', ila dj Summer yeye kazi inaongea
 
dj summer anaijua mashine vizuri sana
namkubali ila kwa wanaotisha sasa kuna vichwa vingi madogo kina dj delvick,kidlux dj jowzey
 
Kuna siku nilikuwa nimetoka Dar usiku nilikuwa na ishu Dodoma, nikafanya fasta na kugeuka na zile Noah pale CBE.
Sasa pale tukapata Alphard, aisee zilipipigwa ngoma za mbelez kuanzia pale mpaka tunafifika Mbezi bila kuchoka.
DJ mwenyewe anaitwa DJ Byron 254
 
Kwasasa Dj aliyeishika nchi ni yule anasemaga "maneno kidogo pesa nyingi" sijui anaitwa nani.
 
Back
Top Bottom