Huyu ndo Gavana namkubali

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Posts
7,251
Reaction score
7,037
Kuna magavana wengi wanajulikana kenya nzima kwa sifa mbali mbali,

Lakini kama kuna gavana naeza kiri kumtaka awe gavana wangu, basi huyu jamaa atakua jina la kwanza kwa list... Jamaa anachapa kazi bila makelele na mbwembwe nyingi.

Kutoka hospitali kuu aliyojenga,Barbara Juzi juzi amesign deal ya $600m na kampuni flani waokote uchafu wote county ndima pamoja na kinyesi cha ngombe kiasi cha kuzalisha megawat 144MW...


Sasa cheki haka ka stadium kanavyokuja vizuri.




Imagine magavana wengine pamoja na serikali kuu wamekua wakiongelea na kuahidi kwingi kujenga stadium ya international standards na hadi wa leo hakuna hata mmoja amefaulu , wengi wetu hata rulikua hatujui kwamba kuna project kama hii kakamega,
 
Kuna wengine pia wanafanya kazi japo hawajui kujitangaza kwenye media, unajua siku hizi kuna viongozi wanatembea na vyombo vya habari hata wakienda kuzindua zahanati vijijini, haafu hao wana habari wanapewa bahasha ili waandike vizuri.
Nakuhakikishia ukifuatilia, utashangaa sana kuna magavanaa wengi wanatimiza na kufanya kazi kwa bidii japo kimya, nchi yetu inapiga hatua sana huko mashinani, hii katiba ni nzuri sana.
 
Hiyo mitu ya kazi isiroge igombee u president akapata, jirani si muna macho munaona ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…