Kafrican
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 7,251
- 7,037
Kuna magavana wengi wanajulikana kenya nzima kwa sifa mbali mbali,
Lakini kama kuna gavana naeza kiri kumtaka awe gavana wangu, basi huyu jamaa atakua jina la kwanza kwa list... Jamaa anachapa kazi bila makelele na mbwembwe nyingi.
Kutoka hospitali kuu aliyojenga,Barbara Juzi juzi amesign deal ya $600m na kampuni flani waokote uchafu wote county ndima pamoja na kinyesi cha ngombe kiasi cha kuzalisha megawat 144MW...
Sasa cheki haka ka stadium kanavyokuja vizuri.
Imagine magavana wengine pamoja na serikali kuu wamekua wakiongelea na kuahidi kwingi kujenga stadium ya international standards na hadi wa leo hakuna hata mmoja amefaulu , wengi wetu hata rulikua hatujui kwamba kuna project kama hii kakamega,