Huyu ndo kijana mwenye mafanikio ya biashara kwa muda mfupi sana

Wachoma mahindi wanapata 50K kwa siku, hao unawazungumziaje...?
Na ni kuanzia saa kumi jioni hadi tatu usiku!
Duh 50 per day?? Sema wengi humu tunataka tuajiliwe.. fika mashuleni muulize mtoto unataka kufanya kazi gani?? ATA kujibu natakuwa pilot, cjui doctor nataka cjui Nini.. nakumbuka nipo primary Ticha alituambia " nyie someni au mnataka kuuza karanga barabarani " dah walimu nao ni chanzo Cha watu kuamini ukiwa pilot wewe ndo tajiri wakati mahind tu kwa siku elfu 50 aya kwa wiki je?! + Miezi 12 dah. Nawalaumu Sana walimu wetu
 
Wewe bisha tu, utabaki ukilalama daily maisha magumu...
Nina uthibitisho wa nilichokisema...
Ila pengine kwa akili zako fupi utasema niweke uthibitisho hapa!
Weka ushahidi apa ukiambiwa wafanya biashara wanaofanikiwa sio ndio una generalize kwamba ata ukiuza BIG G utapata faida kuliko muajiriwa sihivyo kuna biashara zingine ambazo mtu anafanya ili aweze kuishi kwasababu ana alternative nyingine au ili aongeze mtaji tu wakufanya biashara kubwa mfano biashara ya kuuza mahindi sasa unaposema muuza maindi anapata 50,000/= kwa siku yaani kwa mwezi 1,500,000/= usitufanye atuna akili kiasi hiko mkuu
 
Una akili fupi kama nlivyotangulia kusema, kwa kudai ushahidi...
Hivi hujui kuwa kuna muuza chipsi anayeuza 20,000 kwa siku na mwingine anauza 200,000 kwa siku?
Hata huyo muuza Big G unayemdharau kuwa hawezi kupata faida kuliko mwajiri ni kutokana na kuwa na akili finyu...
Biashara ni talanta, kama huna hiyo talanta hutoiweza...
 
Wewe zwazwa nini unafananisha biashara ya chips na muuza mahindi kama ushahidi auna usituwekee ujinga apa 1,500,000/= kwa mwezi muuza mahindi kawaongopee mazwazwa wenzio
 
Acha kuwalaumu walimu kwani vijiwe vya kuchoma mahindi vimefurika vyote, nenda kachome leo jioni.[emoji1]
 
Wewe zwazwa nini unafananisha biashara ya chips na muuza mahindi kama ushahidi auna usituwekee ujinga apa 1,500,000/= kwa mwezi muuza mahindi kawaongopee mazwazwa wenzio

Wewe ni wa kupuuza na kudharau tu, maana hata kuandika hujui!
Umebaki kutukana tu, ni dhahiri kuwa una fikra za kimaskini! Unataka nilete documentary hapa ndio uamini?

Kichwani wewe ni mweupe kabisa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…