Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakushobokelwa wa taata....Babanza kwajura
Acha uwongo usitufanye sie minyooWachoma mahindi wanapata 50K kwa siku, hao unawazungumziaje...?
Na ni kuanzia saa kumi jioni hadi tatu usiku!
Wapi huko nami nikachome mahindi?Wachoma mahindi wanapata 50K kwa siku, hao unawazungumziaje...?
Na ni kuanzia saa kumi jioni hadi tatu usiku!
Duh 50 per day?? Sema wengi humu tunataka tuajiliwe.. fika mashuleni muulize mtoto unataka kufanya kazi gani?? ATA kujibu natakuwa pilot, cjui doctor nataka cjui Nini.. nakumbuka nipo primary Ticha alituambia " nyie someni au mnataka kuuza karanga barabarani " dah walimu nao ni chanzo Cha watu kuamini ukiwa pilot wewe ndo tajiri wakati mahind tu kwa siku elfu 50 aya kwa wiki je?! + Miezi 12 dah. Nawalaumu Sana walimu wetuWachoma mahindi wanapata 50K kwa siku, hao unawazungumziaje...?
Na ni kuanzia saa kumi jioni hadi tatu usiku!
Wewe bisha tu, utabaki ukilalama daily maisha magumu...Acha uwongo usitufanye sie minyoo
Weka ushahidi apa ukiambiwa wafanya biashara wanaofanikiwa sio ndio una generalize kwamba ata ukiuza BIG G utapata faida kuliko muajiriwa sihivyo kuna biashara zingine ambazo mtu anafanya ili aweze kuishi kwasababu ana alternative nyingine au ili aongeze mtaji tu wakufanya biashara kubwa mfano biashara ya kuuza mahindi sasa unaposema muuza maindi anapata 50,000/= kwa siku yaani kwa mwezi 1,500,000/= usitufanye atuna akili kiasi hiko mkuuWewe bisha tu, utabaki ukilalama daily maisha magumu...
Nina uthibitisho wa nilichokisema...
Ila pengine kwa akili zako fupi utasema niweke uthibitisho hapa!
Una akili fupi kama nlivyotangulia kusema, kwa kudai ushahidi...Weka ushahidi apa ukiambiwa wafanya biashara wanaofanikiwa sio ndio una generalize kwamba ata ukiuza BIG G utapata faida kuliko muajiriwa sihivyo kuna biashara zingine ambazo mtu anafanya ili aweze kuishi kwasababu ana alternative nyingine au ili aongeze mtaji tu wakufanya biashara kubwa mfano biashara ya kuuza mahindi sasa unaposema muuza maindi anapata 50,000/= kwa siku yaani kwa mwezi 1,500,000/= usitufanye atuna akili kiasi hiko mkuu
Kuna dsj dar es salam school of journalism tsj time school of jornalism vipo tofauti comradeIvi kinaitwa tsj au dsj?
Wewe zwazwa nini unafananisha biashara ya chips na muuza mahindi kama ushahidi auna usituwekee ujinga apa 1,500,000/= kwa mwezi muuza mahindi kawaongopee mazwazwa wenzioUna akili fupi kama nlivyotangulia kusema, kwa kudai ushahidi...
Hivi hujui kuwa kuna muuza chipsi anayeuza 20,000 kwa siku na mwingine anauza 200,000 kwa siku?
Hata huyo muuza Big G unayemdharau kuwa hawezi kupata faida kuliko mwajiri ni kutokana na kuwa na akili finyu...
Biashara ni talanta, kama huna hiyo talanta hutoiweza...
Acha kuwalaumu walimu kwani vijiwe vya kuchoma mahindi vimefurika vyote, nenda kachome leo jioni.[emoji1]Duh 50 per day?? Sema wengi humu tunataka tuajiliwe.. fika mashuleni muulize mtoto unataka kufanya kazi gani?? ATA kujibu natakuwa pilot, cjui doctor nataka cjui Nini.. nakumbuka nipo primary Ticha alituambia " nyie someni au mnataka kuuza karanga barabarani " dah walimu nao ni chanzo Cha watu kuamini ukiwa pilot wewe ndo tajiri wakati mahind tu kwa siku elfu 50 aya kwa wiki je?! + Miezi 12 dah. Nawalaumu Sana walimu wetu
Wewe zwazwa nini unafananisha biashara ya chips na muuza mahindi kama ushahidi auna usituwekee ujinga apa 1,500,000/= kwa mwezi muuza mahindi kawaongopee mazwazwa wenzio
K, nakiskiaga hiki cha tsj cha Ilala, ndo mana nikaulizaKuna dsj dar es salam school of journalism tsj time school of jornalism vipo tofauti comrade