Huyu ndo kijana mwenye mafanikio ya biashara kwa muda mfupi sana

Wewe ni wa kupuuza na kudharau tu, maana hata kuandika hujui!
Umebaki kutukana tu, ni dhahiri kuwa una fikra za kimaskini! Unataka nilete documentary hapa ndio uamini?

Kichwani wewe ni mweupe kabisa...
Unaanza wewe matusi then unajitetea kauze mahindi uko humu hakuna mjinga mjinga wa kumuongopea
 
Huna ujanja wowote bwana mdogo, in fact nimeshagundua wewe ni mtu wa aina gani!
Ni bora ukapambana na masomo yako maana kwa akili zako zilivyo hovyo utadisco... tu!!
Na pia tambua mahindi ninauza, na ninapata kila ninachohitaji kutokana na biashara hiyo, nitakukaribisha kama kibarua endapo utahitaji pale utakapohitimu (kama ukiacha umbumbumbu, maana usipoacha utafeli tu) nikupe walao ajira ya muda mfupi upate uzoefu wa maisha na jinsi ya kukabiliana na changamoto kadhaa kuliko kurudi kwa wazazi maana utawasababishia hasara tu...
 
Haha aya muuza mahindi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Weka ushahidi apa ukiambiwa wafanya biashara wanaofanikiwa sio ndio una generalize kwamba ata ukiuza BIG G utapata faida kuliko muajiriwa sihivyo kuna biashara zingine ambazo mtu anafanya ili aweze kuishi kwasababu ana alternative nyingine au ili aongeze mtaji tu wakufanya biashara kubwa mfano biashara ya kuuza mahindi sasa unaposema muuza maindi anapata 50,000/= kwa siku yaani kwa mwezi 1,500,000/= usitufanye atuna akili kiasi hiko mkuu
Nini maana ya FAIDA? kwa hiyo ukiuza BIG G hakuna faida? au nyie ndo.wale mlio karirilishwa kwamba faida ni milioni ili iitwe faida.

Wewe unajua wenye viwanda vya pipi kwa.kila pipi wanapata faida ya sh ngapi

Haya ni maneno ya hawanga wa ajira wanao amini hakuna maisha bila kufabya kazi kwa mwanaume mwingine.
 
Una akili fupi kama nlivyotangulia kusema, kwa kudai ushahidi...
Hivi hujui kuwa kuna muuza chipsi anayeuza 20,000 kwa siku na mwingine anauza 200,000 kwa siku?
Hata huyo muuza Big G unayemdharau kuwa hawezi kupata faida kuliko mwajiri ni kutokana na kuwa na akili finyu...
Biashara ni talanta, kama huna hiyo talanta hutoiweza...
Unabishana na Mhanga wa Ajira? huyo hajui kama kuna maisha nje ya hapo anapo fanya kazi.
 
Huna ujanja wowote bwana mdogo, in fact nimeshagundua wewe ni mtu wa aina gani!
Ni bora ukapambana na masomo yako maana kwa akili zako zilivyo hovyo utadisco... tu!!
Na pia tambua mahindi ninauza, na ninapata kila ninachohitaji kutokana na biashara hiyo, nitakukaribisha kama kibarua endapo utahitaji pale utakapohitimu (kama ukiacha umbumbumbu, maana usipoacha utafeli tu) nikupe walao ajira ya muda mfupi upate uzoefu wa maisha na jinsi ya kukabiliana na changamoto kadhaa kuliko kurudi kwa wazazi maana utawasababishia hasara tu...
Ujue wabongo ni watu wa ajabu.Wanaona kuchoma mahondi sio biashara ila still mahindi yananunuliwa, hizo karanga zinatafunwa.

Watu wanazania biashara ni ya kufungua Yard ya kuuza USED Car.

Mkuu humu kuna waganga wa kuajirwa yaani huwaambiii kitu hapa wakuelewe. wewe waletee story za kutafuta kazi zaodi
 
Unabishana na Mhanga wa Ajira? huyo hajui kama kuna maisha nje ya hapo anapo fanya kazi.
Huyo dogo bado hata hajui maana ya ajira mkuu, anasumbuliwa na utoto na stori za vijiweni!
Ni mwanafunzi eti sijui wa mwaka wa pili huko chuo, anawaza pumba kabisa...
Nishampuuza!
 
Ina maana kwa siku 7000 , maadam hana frem, halipi kodi, basi kama ni mauzo labda faida ni 3500 .anaingiza 35000 kwa wiki na ni pesa nzuri kwa mwenye nidhamu ya pesa
 
Arusha wapo weng kwenye utalii wanalipwa USD 25 -100 per day elimu weng certificate
 
Nini maana ya FAIDA? kwa hiyo ukiuza BIG G hakuna faida? au nyie ndo.wale mlio karirilishwa kwamba faida ni milioni ili iitwe faida.

Wewe unajua wenye viwanda vya pipi kwa.kila pipi wanapata faida ya sh ngapi

Haya ni maneno ya hawanga wa ajira wanao amini hakuna maisha bila kufabya kazi kwa mwanaume mwingine.
Ujaelewa mada nini
 
Nadhan kichwa cha hii thread kipo overhyped...........hicho kiwango ulichosema wewe is very little kumpa title huyo dogo ya kuwa kijana anaeingiza pesa nyingi kullko wote..Sio dharau ila that amount ni ndogo sana
 
Back
Top Bottom