Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Huyu ndo kiongozi wa kikundi cha kigaidi kinachoua polisi na kuiba silaha kwenye vituo nchini

Walianza ni majambazi wakaja panya road sasa ni vikundi vya kigaidi mwisho Boko Haram mara Al quida Alshabaab Serikali muangalie hili sio la kisiasa kama mlivozoeaaa
 
Tuache kulinganisha matokeo na dini kwani hiyo misingi yetu embu tujadili jinsi ya kuilinda amani ya taifa letu
 
Saaaa ya ukombozi inawadia.......kwa mtutu wa bunduku,
ni raha ili oje!
 
Papason kila MTU anaipenda SAA ya ukombozi lakini basi ije kwa amani na sio kwa mtutu wa bunduki ndugu zangu
 
Hii kauli ya Sheikh mkuu inaacha maswali mengi sana..."Kwanza hizo taarifa hizo ndiyo nazisikia kutoka kwako. Hilo jina ulilonitajia (Bin Abdullah) sijawahi kulisikia labda muangalie kwa wenzetu upande wa pili.”

Hahahahah aisee kazi ipo. Upande wa pili ni ule wa akina sheikh Ponda.
 
Sasa nyinyi wenye shule kumi bora mnazalisha wasomi gani zaid zaid ya wezi kama kina askofu kilaini na rugemalila??


Mbuzi katoliki akili fyatu sana aisee.

Yaani huwa na imagine wewe na faizafoxy mkiwa mume na mke, offspring zenu sijui zitakuwaje. Nimefikiria tu.
 
Kiukweli wanachukulia hali hii dhihaka wananishangaza.Maana TZ ikichafuka sote tutasota maana ni nchi yetu sote.Twapaswa kuungana na kumaliza vikundi hivi kwa gharama yoyote.Pole kwa askari wetu waliopoteza maisha kwa ajili ya kadhia hii,historia itawakumbuka kwa kujitolea kwenu.
 
Dar kuna sehemu zinaitwa Kibo,Rombo,Mombasa

Kwa hiyo unaona yuko sahihi kwa mawazo yako? Haya ni matatizo ya kutoshughulisha vichwa hawa wandishi wako na hakuna sababu ya kuwatetea eti kwa vile Dar kuna sehemu inaitwa Rombo basi na Kilimanjaro kuna Ushirombo! Ni ukuda huo, afadhari kama angesema Moshi labda tungehisi kwamba huenda pale Moshi mjini kuna mtaa unaitwa Ushirombo, lakini sasa ukisema Kilimanjaro hiyo inamaanisha kuwa ni Wilaya ndani ya mkoa wa Kilimanjaro!

Halafu katika kutoshughulisha vichwa, wote (kwa wale wafuatiliaji tu siyo watu kama wewe na mwandishi wako) tunajua kabisa kwamba tukio la polisi kunyang'anywa silaha na kuuawa lilitokea Ushirombo wilaya ya Bukombe mkoa wa Geita! Kwa hiyo mwandishi wako ni mburura!
 
mkuu ni kweli "tano bora" za mwisho ni za kiislam?pengine fitna za NECTA,em fatilia mkuu

stil a young boy

KUMBE UMEFUNDISHWA NA MARK MASTER NA MAREHEMU NABURI HAPO GALANOS SEC SHOOL TANGA ILI HALI HAO SISI TULIWAACHA SHULE ENZ HIZO WAPO HIGH SCHOOL HAPO GALANOS MIAKA HIYO??

Kumbe sometimes TUNAZUNGUMZA NA WATOTO WETU WA KUWAZAA KABISA HUMU NDANI.
 
Back
Top Bottom