Huyu ndo msanii bora wa Tanzania mwaka 2016

Wasanii wengine wanakazi kubwa kumfikia huyu jamaa
Ishu sio kumfikia
Tunachotaka sie wasanii wote watoboe na wawe mianya mingi ya kupiga pesa kama ilivyo kwa wasanii wa nigeria..
 
msaga sumu ndio bora anakawimbo kake kale sijui shemeji unafanyaje ....kanapigwa sana uswazi huku
 
Mkuu kwanza nikupongeze kwa uzi Mzuri ulio na FACTS. hawatakua na la kusema hapa. Ila tuwakumbushe pia Taifa sasa lamsherekea Mtoto mchanga,, Chibu Jr.
Data baba hawajawahi kosa la kuongea hata kwa vitu vilivyo wazi
 
Alikuwa bora.. hapo najua hujaweka mauzo ya mtandaoni.. i wish him the best kwa mwaka ujao uwe mzuri pia.. the same to me..
 
Nimependa umeongea kwa weledi,sio blah blah safi sana. Ingekuwa vizuri tungekuwa na akina DIAMOND kama 10 au zaidi,lakini wabongo TUNATAKA KWANZA TUMSHUSHE HUYU NDIO AWEPO MWINGINE,HALAFU WAMEKUTA WENGINE HATUTAKI HILO LITOKEE,MATOKEO YAKE KABAKI HUYO HUYO ANAWABULUZA.
 
Duuh
Kjn ana pesa
Kwamba kwa mwez tuu.anaangiza zaid 50mil

Magu anapokea 19mil,si dharau hizi

Magu jiongeze mshahara asee,
 
haya nenda kachukue buku 7 yako madale.
 
Nifah anatamani angekuwa mod aufutilie mbali huu uzi.....hahaha tangazo lipo ndani notice board ya kioo...huwezi chana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…