Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
Asante sana.Hongereni nyie wenzetu wenye maboksinya cndm nyumbani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana.Hongereni nyie wenzetu wenye maboksinya cndm nyumbani
Kwa ajili ya kuzuia mimba zisizotarajiwa..... Pia kuzuia maambukizi ya kisonono, HIV, kaswende, etc Etiiiiii na Mtoto hujawa tayari kumpata ..... Na kondomu pia hutaki kutumia.....Mwanamke akisema tu suala la cndm tunaachana hapohapo
Ukisema wanaume ni watu wa ajabu utaishia kuwapata wa ajabu hao haoKiasi chake lakini wanaume watu wa ajabu unaweza kufanya hayo na zaidi ya hayo bado akakuona box halafu umkute yuko na chausiku sasa,
Nb. Mapenzi hayana formula.
Kwa ajili ya kuzuia mimba zisizotarajiwa..... Pia kuzuia maambukizi ya kisonono, HIV, kaswende, etc Etiiiiii na Mtoto hujawa tayari kumpata ..... Na kondomu pia hutaki kutumia.....
Asante sana.
Yaan me nimechoka macho ntarudi baadaye hahahahahahaNimesoma nikaona haiishi nikaishia hapo pa kufunguliwa mlango wa gari maana Eli79 wangu hana hata baiskeli
Wala yasingekuwa burudan maana sisi ndo tungekuwa tunatumia nguvu nyingi sana wakati mapenz yana pande mbili...unless uniambie mapenzi yangekuwa burudan kwa wanaume.Wanawake wote wangekuwa hivi maisha yangekuwa burudani sana
Hivi kuna condom pia? Me nimeishia mbali sana hahahahahahaahNilipofika hapo kwenye condom nikadelate na Uzi wenyewe kabisa
Nunuaeni ndomu za kupewa dozii acheni uvivuu...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi kuna condom pia? Me nimeishia mbali sana hahahahahahaah
Wanaume wengine mwanamke akijiandaa na condom kabisa wanamuona Malaya.Nunuaeni ndomu za kupewa dozii acheni uvivuu...![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke unaeweza kwenda dukani kununua kondoma ya kugongwa huyo SIO WA KUOAA...!! yani ni kulaa na kutembea mbele...labda aziibe mahali aje nazo ila sio kwenda dukani kabisaWanaume wengine mwanamke akijiandaa na condom kabisa wanamuona Malaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke unaeweza kwenda dukani kununua kondoma ya kugongwa huyo SIO WA KUOAA...!! yani ni kulaa na kutembea mbele...labda aziibe mahali aje nazo ila sio kwenda dukani kabisa
Hapana kuchukua sio kuibaa bhanaa...![emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahahahaha kumbe...sasa utaoaje mwanamke anayeiba condom mkuu?
Huyo si ni mwizi pia?
hahahahahahahahaha ila me hiyo kazi sifanyi..vitu vingine bhana hahahahaahhahahHapana kuchukua sio kuibaa bhanaa...![emoji23][emoji23][emoji23]
Yani unanunua kabisa ndomu za kusukumiwa motoo...afu ukimaliza hapo unatoa na helaa juu...!! Hujapataa wakukufikishaa wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahahahahahahahaha ila me hiyo kazi sifanyi..vitu vingine bhana hahahahaahhahah
Hahahahahahahahah nilishapata mkuu ndo maana sina haja na ndomYani unanunua kabisa ndomu za kusukumiwa motoo...afu ukimaliza hapo unatoa na helaa juu...!! Hujapataa wakukufikishaa wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee so ndomu hununui ilaa unamlipaaa...[emoji39][emoji39][emoji39]Hahahahahahahahah nilishapata mkuu ndo maana sina haja na ndom
Halafu siku yeye akinikuta na ndom atashaningaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee so ndomu hununui ilaa unamlipaaa...[emoji39][emoji39][emoji39]
Amina mpendwa katika Bwana.Sawa mtumiishi wa Mungu