Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

Kwa ajili ya kuzuia mimba zisizotarajiwa..... Pia kuzuia maambukizi ya kisonono, HIV, kaswende, etc Etiiiiii na Mtoto hujawa tayari kumpata ..... Na kondomu pia hutaki kutumia.....

Mm ninapokuwa na mpenzi wangu suala la mimba huwa sio tatizo...hayo magonjwa unayatoa wapi kama wote hamchepuki halaf miaka ya karibuni sijasikia mtu kaambukizwa STD
 
Wanawake wote wangekuwa hivi maisha yangekuwa burudani sana
Wala yasingekuwa burudan maana sisi ndo tungekuwa tunatumia nguvu nyingi sana wakati mapenz yana pande mbili...unless uniambie mapenzi yangekuwa burudan kwa wanaume.
 
Wanaume wengine mwanamke akijiandaa na condom kabisa wanamuona Malaya.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke unaeweza kwenda dukani kununua kondoma ya kugongwa huyo SIO WA KUOAA...!! yani ni kulaa na kutembea mbele...labda aziibe mahali aje nazo ila sio kwenda dukani kabisa
 
Hahahahahahaha kumbe...sasa utaoaje mwanamke anayeiba condom mkuu?
Huyo si ni mwizi pia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwanamke unaeweza kwenda dukani kununua kondoma ya kugongwa huyo SIO WA KUOAA...!! yani ni kulaa na kutembea mbele...labda aziibe mahali aje nazo ila sio kwenda dukani kabisa
 
Yani unanunua kabisa ndomu za kusukumiwa motoo...afu ukimaliza hapo unatoa na helaa juu...!! Hujapataa wakukufikishaa wewe...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahahahahah nilishapata mkuu ndo maana sina haja na ndom
Halafu siku yeye akinikuta na ndom atashaningaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…