maambati
Member
- Sep 9, 2018
- 38
- 21
nimfanyie nani sasa hivi? wanaume waliisha wamebaki wa kiume
hivi mbona kila mwanamke hum iko kama ashaumizwa tangazeni hali ya hatar tu sasa 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimfanyie nani sasa hivi? wanaume waliisha wamebaki wa kiume
hapa hap[a mbona mm sina nimeandika nimekumbuka mbali zamani raha sanaTusiokuwa na wapenzi tuakoment wapi
nakuelea dia no comment, zamani raha sana ndio maana nikasema mwisho nilifanya 2014Nilikuwa hivi zamani lkn sikuhizi siwezi tena kuwa Romantic, nimeshaumizwa sana kiasi kwamba hata kumwambia I lov u najihic km nadanganya nafsi yangu.. I can't col him baby, sweethrt or wherever sababu nilichowahi kukijua hakijawahi kuniisha kichwani na ubaya hajawahi kuomba msamaha kwa lilowahi kutokea.. Muda mwingine too much pain inaondoa uromantic kwa m'mke. Hivyo m'ume akitaka m'mke wa hivyo basi anaweza kumtengeneza kwa kumjengea trust ya kutosha na daima ailinde..!!
nakuelea dia no comment, zamani raha sana ndio maana nikasema mwisho nilifanya 2014.Nilikuwa hivi zamani lkn sikuhizi siwezi tena kuwa Romantic, nimeshaumizwa sana kiasi kwamba hata kumwambia I lov u najihic km nadanganya nafsi yangu.. I can't col him baby, sweethrt or wherever sababu nilichowahi kukijua hakijawahi kuniisha kichwani na ubaya hajawahi kuomba msamaha kwa lilowahi kutokea.. Muda mwingine too much pain inaondoa uromantic kwa m'mke. Hivyo m'ume akitaka m'mke wa hivyo basi anaweza kumtengeneza kwa kumjengea trust ya kutosha na daima ailinde..!!
Nilikuwa hivi zamani lkn sikuhizi siwezi tena kuwa Romantic, nimeshaumizwa sana kiasi kwamba hata kumwambia I lov u najihic km nadanganya nafsi yangu.. I can't col him baby, sweethrt or wherever sababu nilichowahi kukijua hakijawahi kuniisha kichwani na ubaya hajawahi kuomba msamaha kwa lilowahi kutokea.. Muda mwingine too much pain inaondoa uromantic kwa m'mke. Hivyo m'ume akitaka m'mke wa hivyo basi anaweza kumtengeneza kwa kumjengea trust ya kutosha na daima ailinde..!!
wanaume ni washenzy ila hii kitu inapendeza kwa wachumba hasa ukipata mwanaume anazo utafurahi, nilipataga dude moya enzi za jk sitosahau that man i think i will never meet a man like that, i think so, he was romantic to the maxmum, he was the first man to give 1m cash kwa mkupuo, nakumbuka siku hiyo nilimpelekea chakula offisin.Ushauri mzuri kama nini best ila shida ya hao hawana shukurani wewe fanya hivi kwenye hiyo pochi beba condom za kutosha kanga na kijitaulo cha kishkaji au kanga mbili moja yakujifuta na moja ya kuivaa .
Mengine mpaka ndoa.
Dah utajituma kwa wangapi maisha nikujituma pale umeolewa.
Huu ushauro wako ni wawatu waliokwenye ndoa tena wanaojaliwa na mabwana zao.
Kuna usemi unaosema ukitoa tarajiwa kupewa.
haswa mimi siingiagi kwenye gari kwanza nasubiri. ahaa kuna mmoja alinambia ingia nishatoa lock loh nikikumbuka nacheka. shoga kuanzia leo anza kusubiri ufunguliweKwanzia Leo ntasubiri nifunguliwe mlango wa gari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]
Asante pia
wanaume ni washenzy ila hii kitu inapendeza kwa wachumba hasa ukipata mwanaume anazo utafurahi, nilipataga dude moya enzi za jk sitosahau that man i think i will never meet a man like that, i think so, he was romantic to the maxmum, he was the first man to give 1m cash kwa mkupuo, nakumbuka siku hiyo nilimpelekea chakula offisin.
nilichoma viavi vitam na nyama choma, nikatengeneza na juice nikaweka kwenye vi bob vyangu nikafunga kwenye ka box na chupa ya juice,nikampigia simu kama yupo offisin akasema ndio, nikachukua tax kufika nikampa secretary kile kibox, nikasubiri atake alivyorudi nikamuuliza kama kampa akasema ndio coz nilikuwa nimesubiria reception, basi nikasepa, nafika njiani kanipigia alifurahi sana, baada ya siku tatu aliniita sehemu akanipa 1mil akasema thanks for the meal, ikusaidie, loh nilifurahi sana. lakini pia hakuwa mchoyo yule kaka yeye kunipa laki 3 ilikuwa kawaida popote alipo nick mungu amlinde.
sasa hivi michosho bora kuwa single
something came in ila sina chuki nae na simlaumu kwa chochote hakuwa na jinsi , kwakuwa hakunitesa kwa kindi chote mungu amlindeSasa mambo yote haya halaf hampo pamoja,sijui tatizo lilikuwa la nani
wapuuzi sanahivi mbona kila mwanamke hum iko kama ashaumizwa tangazeni hali ya hatar tu sasa 🙂
wapuuzi sanahivi mbona kila mwanamke hum iko kama ashaumizwa tangazeni hali ya hatar tu sasa 🙂
wapuuzi sanahivi mbona kila mwanamke hum iko kama ashaumizwa tangazeni hali ya hatar tu sasa 🙂
wapuuzi sana
Nimeshaanza kuanzia leohaswa mimi siingiagi kwenye gari kwanza nasubiri. ahaa kuna mmoja alinambia ingia nishatoa lock loh nikikumbuka nacheka. shoga kuanzia leo anza kusubiri ufunguliwe
Umeonaee. Na siku zote kila mahusiano yana ngoma yake yaani anayocheza fulani sio sawa na atakayocheza yule.Unaweza kufanya yoteee hayo na aka kusaliti vile vile mapenzi siku hizi ni kubeti.
Teh teh huo ndio ukweli japo mchungu kufanya tufanye ila tusijiwekee asilimia miaUmeonaee. Na siku zote kila mahusiano yana ngoma yake yaani anayocheza fulani sio sawa na atakayocheza yule.
ngoja nisome