Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

nakuelea dia no comment, zamani raha sana ndio maana nikasema mwisho nilifanya 2014
 
nakuelea dia no comment, zamani raha sana ndio maana nikasema mwisho nilifanya 2014.
 
wanaume ni washenzy ila hii kitu inapendeza kwa wachumba hasa ukipata mwanaume anazo utafurahi, nilipataga dude moya enzi za jk sitosahau that man i think i will never meet a man like that, i think so, he was romantic to the maxmum, he was the first man to give 1m cash kwa mkupuo, nakumbuka siku hiyo nilimpelekea chakula offisin.

nilichoma viavi vitam na nyama choma, nikatengeneza na juice nikaweka kwenye vi bob vyangu nikafunga kwenye ka box na chupa ya juice,nikampigia simu kama yupo offisin akasema ndio, nikachukua tax kufika nikampa secretary kile kibox, nikasubiri atake alivyorudi nikamuuliza kama kampa akasema ndio coz nilikuwa nimesubiria reception, basi nikasepa, nafika njiani kanipigia alifurahi sana, baada ya siku tatu aliniita sehemu akanipa 1mil akasema thanks for the meal, ikusaidie, loh nilifurahi sana. lakini pia hakuwa mchoyo yule kaka yeye kunipa laki 3 ilikuwa kawaida popote alipo nick mungu amlinde.

sasa hivi michosho bora kuwa single
 
Kwanzia Leo ntasubiri nifunguliwe mlango wa gari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji120]

Asante pia
haswa mimi siingiagi kwenye gari kwanza nasubiri. ahaa kuna mmoja alinambia ingia nishatoa lock loh nikikumbuka nacheka. shoga kuanzia leo anza kusubiri ufunguliwe
 

Sasa mambo yote haya halaf hampo pamoja,sijui tatizo lilikuwa la nani
 
Sasa mambo yote haya halaf hampo pamoja,sijui tatizo lilikuwa la nani
something came in ila sina chuki nae na simlaumu kwa chochote hakuwa na jinsi , kwakuwa hakunitesa kwa kindi chote mungu amlinde
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…