Huyu ndo mwanamke romantic, tofauti na hapo dada unajidanganya

Bi Chau kumbe yako anga hizi JF?
 
Mapenzi yatanishinda!
 
Kiasi chake lakini wanaume watu wa ajabu unaweza kufanya hayo na zaidi ya hayo bado akakuona box halafu umkute yuko na chausiku sasa,
Nb. Mapenzi hayana formula.
Tupo wanaume wastaarabu mbona, sema hujakutana nasi. Wengi mnaowapenda hawajuagi ku appreciate penzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…