Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,699
Mke wa jirani yangu alikuwa akikuta PESA wakati anafua nguo za mume wake alipiga kimya kimya, sasa ngoja akute kaacha CONDOM, mtaa mzima tulijua kama ameoa KIPAZA SAUTI.
Siku hizi jamaa anafunga condom na hela kwa pamoja… mkewe akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu… 😀 😵 😱 🙂
Siku hizi jamaa anafunga condom na hela kwa pamoja… mkewe akivikuta anachukua hela na kuishia kusonya tu… 😀 😵 😱 🙂