Huyu ndo mzungu anayewapa joto Nandy na Ruby!

Huyu ndo mzungu anayewapa joto Nandy na Ruby!

MumbaZ

Senior Member
Joined
Jan 28, 2018
Posts
133
Reaction score
124
Muimbaji wa muziki raia wa Norway, Makihiyo ameachia nyimbo iitwayo ‘Ni Wako’ akiwa amemshirikisha mkali wa muziki wa R&B Bongo, Ben Pol. Huyu mzungu anasema sababu ya kuimba kwa Kiswahili ni kuwa Kiswahili kimekaa kimuziki sana, ni lugha inayoendana na muziki rahisi kuimba.
Mbali nakuimba anapenda sana kucheza yaani kudance muziki wa Africa. kwa Uwezo wake na kipaji chake huyu ni Zaidi ya yule mzungu mwengine aitwaye Sarah.

Style yake ya kuimba iko kama ya Nandy na Ruby. Hapo sasa utata unapokuja kuwa huyu mzungu Atawafunika Nandy na Ruby wasipotulia. Inasemekana anawapa tumbo joto..

 
We unawategemeaga wazungu hao wataleta ushindani hao wanafanya kwa mapenzi tu sio kama wasanii wetu ata akiitwa kwa show ya laki anaifuata kwa bus ilimradi ajitambulishe
 
kuna ngoma nyingine katoa imaitwa POLE POLE
 
Back
Top Bottom