Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
Bongo. NyosoNaomba kujua wadau hii ni plate number ya afisa gani? au ni private number?
View attachment 2367928
Clerk of the National Assembly.Naomba kujua wadau hii ni plate number ya afisa gani? au ni private number?
View attachment 2367928
Asante sana Boss,umenitoa ushamba.Clerk of the National Assembly.
Lugha ya madafu ni Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Hyo gari ni ya katibu wa bunge yule mwanamamaBoss wasikutishe iyo gari ya kawaida, T123CNA.
Aliepiga picha kaona afute izo number for anonymity
Nilikuona wakati ukipiga hiyo picha nilikuwa kwenye ile defender kushoto mwa hiyo gari.Mahafali ilifana sana licha ya changamoto ya mvua.
πMatapeli wa tozo
Speaker ni SClerk of the National Assembly.
Lugha ya madafu ni Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.