Madimba jr
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 1,577
- 3,146
- Thread starter
- #21
Isije ikawa na wewe ulinipiga picha wakati niko bize kupiga picha gari ya CNA😁😁Nilikuona wakati ukipiga hiyo picha nilikuwa kwenye ile defender kushoto mwa hiyo gari.
Although miaka yote ya mahafari hapa skuli mvua ni sehemu ya sherehe.