Huyu ni Afisa gani serikalini?

Nilikuona wakati ukipiga hiyo picha nilikuwa kwenye ile defender kushoto mwa hiyo gari.

Although miaka yote ya mahafari hapa skuli mvua ni sehemu ya sherehe.
Isije ikawa na wewe ulinipiga picha wakati niko bize kupiga picha gari ya CNA😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…