Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mhhh, hivi watanzania tunakuwa wazembe namna hii hadi kufikiri. Hakika CCM watatutawala milele.
Wewe kwa akili yako hauoni kuwa hayo ni majina mawili tofauti kabisa. WILLY M.T.SLAA na WILBROAD P.SLAA ni tofauti kabisa.
- Mfano. Abdalah M. Bulembo na Abdalah H. Bulembo. Je ni mtu mmoja ama tofauti?
Huyu jamaa kuna siku atavalishwa gauni. Angekuwa Uganda huyu angeipata fresh.
Naona ni watu tofauti. Au hiyo Pontifical Urban Univ Imekuchanganya?
Na pia hata mwaka wa uchapaji lazima ukutie shaka... kwan ni kama mwaka huo alikuwa Kasisi au anasomea Ukasisi.... Lakini sina uhakika kama ni Yeye.Ndio mkuu,halafu aliyechapa hicho kitabu ni padri,Privatus Karugendo ambaye alisoma na Dr.slaa ndo maana nkawa nahisi labda ni mtu mmoja
Mkuu #Bill ,nimejaribu kuconect kuwa Dr.Slaa aliwahi kusoma huko Rome,pia ni wa huko huko Mbulu kama anuani inavyoonesha.Ndio maana nimeulza.
je inawezekana mwaka 1981 kulikuwa na wilibroad slaa na willy slaa katika chuo kimoja wote kutoka mbulu? Wasiwasi upo hapo!kwan ni kama mwaka huo alikuwa kasisi au anasomea ukasisi.... Lakini sina uhakika kama ni yeye.
Mkuu Deo Corleone, Wilbroad Slaa ni kutoka wilaya ya Karatu na sio Mbulu
Haiwezekani labda mwaka 1981 Karatu na Mbulu walikua wanatumia adress moja?
adress hii. Bishop's House,Box 49 Mbulu.
Inawezekana kaka,ila Tujiulize kidogo kama mwaka 1981 Dr.slaa alikua ashatoka ROME CHUO TAJWA? INAWEZEKA ,SAME YEAR,SAME UNIVERSTY, KULIKUWA NA WILBROAD SLAA NA WILLY SLAA?Kaka in short hao ni watu wawili tofauti.
Naona labda iwekwe michoro ndo utaelewa maana unaonekana mgumu wa kuelewa.Inawezekana kaka,ila Tujiulize kidogo kama mwaka 1981 Dr.slaa alikua ashatoka ROME CHUO TAJWA? INAWEZEKA ,SAME YEAR,SAME UNIVERSTY, KULIKUWA NA WILBROAD SLAA NA WILLY SLAA?
Mkuu,nimedurusu humu jamvini nimepata cv ya Dr. Huo mwaka alikua Rome kwenye hicho chuo na moja ya vitabu alivyoandika ni hicho nilichotaja!Naona labda iwekwe michoro ndo utaelewa maana unaonekana mgumu wa kuelewa.
Inawezekana kaka,ila Tujiulize kidogo kama mwaka 1981 Dr.slaa alikua ashatoka ROME CHUO TAJWA? INAWEZEKA ,SAME YEAR,SAME UNIVERSTY, KULIKUWA NA WILBROAD SLAA NA WILLY SLAA?
Mkuu,nimedurusu humu jamvini nimepata cv ya Dr. Huo mwaka alikua Rome kwenye hicho chuo na moja ya vitabu alivyoandika ni hicho nilichotaja!