Huyu ni Dr.Slaa au Slaa mwingine??

Huyu ni Dr.Slaa au Slaa mwingine??

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
17,006
Reaction score
13,281
Wakuu, kuna kitabu ninacho hapa kinaitwa "UTIMILIFU WA MVULANA". KIMEANDIKWA NA WILLY M.T.SLAA WA S.L.P 49 MBULU. KIMECHAPWA TAR.25.3.1982. ILA KIMEANDIKWA MARCH 1981 HUKUO PONTIFICAL URBAN UNV.ROME.
SASA NAOMBENI KUJUA HUYO AUTHOR NI DR.W.P.SLAA?
 
Mhhh, hivi watanzania tunakuwa wazembe namna hii hadi kufikiri. Hakika CCM watatutawala milele.

Wewe kwa akili yako hauoni kuwa hayo ni majina mawili tofauti kabisa. WILLY M.T.SLAA na WILBROAD P.SLAA ni tofauti kabisa.

  • Mfano. Abdalah M. Bulembo na Abdalah H. Bulembo. Je ni mtu mmoja ama tofauti?
 
Huyu jamaa kuna siku atavalishwa gauni. Angekuwa Uganda huyu angeipata fresh.
 
Mkuu #Bill ,nimejaribu kuconect kuwa Dr.Slaa aliwahi kusoma huko Rome,pia ni wa huko huko Mbulu kama anuani inavyoonesha.Ndio maana nimeulza.
 
Naona ni watu tofauti. Au hiyo Pontifical Urban Univ Imekuchanganya?
 
Naona ni watu tofauti. Au hiyo Pontifical Urban Univ Imekuchanganya?

Ndio mkuu,halafu aliyechapa hicho kitabu ni padri,Privatus Karugendo ambaye alisoma na Dr.slaa ndo maana nkawa nahisi labda ni mtu mmoja
 
:bored: KUULIZA SI UJINGA!:bored::bored:
 
Ndio mkuu,halafu aliyechapa hicho kitabu ni padri,Privatus Karugendo ambaye alisoma na Dr.slaa ndo maana nkawa nahisi labda ni mtu mmoja
Na pia hata mwaka wa uchapaji lazima ukutie shaka... kwan ni kama mwaka huo alikuwa Kasisi au anasomea Ukasisi.... Lakini sina uhakika kama ni Yeye.
 
kwan ni kama mwaka huo alikuwa kasisi au anasomea ukasisi.... Lakini sina uhakika kama ni yeye.
je inawezekana mwaka 1981 kulikuwa na wilibroad slaa na willy slaa katika chuo kimoja wote kutoka mbulu? Wasiwasi upo hapo!
 
Mkuu Deo Corleone, Wilbroad Slaa ni kutoka wilaya ya Karatu na sio Mbulu

Haiwezekani labda mwaka 1981 Karatu na Mbulu walikua wanatumia adress moja?
adress hii. Bishop's House,Box 49 Mbulu.
 
Last edited by a moderator:
Kaka in short hao ni watu wawili tofauti.
Inawezekana kaka,ila Tujiulize kidogo kama mwaka 1981 Dr.slaa alikua ashatoka ROME CHUO TAJWA? INAWEZEKA ,SAME YEAR,SAME UNIVERSTY, KULIKUWA NA WILBROAD SLAA NA WILLY SLAA?
 
Inawezekana kaka,ila Tujiulize kidogo kama mwaka 1981 Dr.slaa alikua ashatoka ROME CHUO TAJWA? INAWEZEKA ,SAME YEAR,SAME UNIVERSTY, KULIKUWA NA WILBROAD SLAA NA WILLY SLAA?
Naona labda iwekwe michoro ndo utaelewa maana unaonekana mgumu wa kuelewa.
 
Naona labda iwekwe michoro ndo utaelewa maana unaonekana mgumu wa kuelewa.
Mkuu,nimedurusu humu jamvini nimepata cv ya Dr. Huo mwaka alikua Rome kwenye hicho chuo na moja ya vitabu alivyoandika ni hicho nilichotaja!
 
Inawezekana kaka,ila Tujiulize kidogo kama mwaka 1981 Dr.slaa alikua ashatoka ROME CHUO TAJWA? INAWEZEKA ,SAME YEAR,SAME UNIVERSTY, KULIKUWA NA WILBROAD SLAA NA WILLY SLAA?

Lengo lako hasa ni nini? Umeshaambiwa ni watu wawili tofauti we unabisha. Sasa kama vipi thibitisha wewe basi kuwa ni mtu mmoja.
 
Sasa hata ukijua,itakusaidia nini?watanzania tunapenda sana kufuatilia vitu vya kijinga jinga na kusahau masuala ya msingi.
 
Mkuu,nimedurusu humu jamvini nimepata cv ya Dr. Huo mwaka alikua Rome kwenye hicho chuo na moja ya vitabu alivyoandika ni hicho nilichotaja!

Unaona sasa? Kumbe ulikuwa una uwezo wa kuperuzi kupata jibu. Kulikuwa hakuna sababu ya kuanzisha thread kama ungeperuzi kwa lengo tu la kujua.

Maadam sasa umeshajua haya uliza sasa ulichotaka kuuliza.
 
Back
Top Bottom