Huyo sio mchezaji mpira ni Bongo movies star anaitwa JB, hapo ni uwanja wa Taifa mpya ilikua ni a charity match kuchangia wathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto, ambapo timbili sili cheza match ya kirafiki , ambazo zilikua ni zinazo wakilisha wasanii wa Bongo Movies na Bonga Flava Music. Mbaka mwisho wa mchezo timu ya wasanii wa Bongo flava ilishinda sikumbuki mabao mangapi. Again , ni faida kwa wanao kusanya michango na ni Msiba mkubwa kwa wasanii wote hao wa Music na Movies maana Mdhalimu wao mkubwa Ruge Mutahaba ana zidi kupanda chati na kukubalika huku akizidi kuwa dudumiza na kuwagandamiza .