Huyu ni mchezaji wa zamani, je ni nani?

Kweli pesa haiongopi, RAMIRES alipofika chelsea alikuwa kama mmakonde kutoka chitoholi, ila sasa anaonekana ni black america aliyezaliwa na kukulia maisha ya ushuani. 🤣
Hadi sikumtambua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…