Huyu ni mchezaji wa zamani, je ni nani?

Kabisa mkuu. Kuna kipindi nilikutana na picha zake page fulani, sikuamini. Ikabidi niende ukurasa wake wa Instagram nikakuta ni yeye kweli. Nilifikiri sana juu ya transformation ya jamaa
Noma sana yani kalikua kembamba kinyama, nikimuona nakumbuka 2012 Chelsea vs Barca lile goli lake la kuchop noma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…