Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Umependa rafudhi au undugu wake na diamond..!Ivi ni lafudhi ya wap iii??
Nimeipenda buree [emoji28][emoji28]
Nimependa rafudhiUmependa rafudhi au undugu wake na diamond..!
Ndiyo maana huwa mnaliwa kizembe sana..!Nimependa rafudhi
Undugu wake na diamond wala haunihusu
Basi sawaNdiyo maana huwa mnaliwa kizembe sana..!
Kakukomesha unataka kudandia treni kwa mbeleKijana anayedai ni mdogo wake diamond analalamika kaka yake amemtosa, sasa sijui kama ni mdogo wake kweli ila wanaongea sawa na wanafanana