Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
Kijana anayedai ni mdogo wake diamond analalamika kaka yake amemtosa, sasa sijui kama ni mdogo wake kweli ila wanaongea sawa na wanafanana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umependa rafudhi au undugu wake na diamond..!Ivi ni lafudhi ya wap iii??
Nimeipenda buree [emoji28][emoji28]
Nimependa rafudhiUmependa rafudhi au undugu wake na diamond..!
Ndiyo maana huwa mnaliwa kizembe sana..!Nimependa rafudhi
Undugu wake na diamond wala haunihusu
Basi sawaNdiyo maana huwa mnaliwa kizembe sana..!
Kijana anayedai ni mdogo wake diamond analalamika kaka yake amemtosa, sasa sijui kama ni mdogo wake kweli ila wanaongea sawa na wanafanana