AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Picha inajieleza.
Ulivosema mdudu nilidhani nguruwe bwashee.Picha inajieleza.
View attachment 3560798
Kwani Malaria ipo?kabla sijafungua nilijua tu ni mbu mdudu mshenzi sana leo nimeanza dozi ya mseto anasababisha nakosa mbususu kesho kizembe sana.
Anopheles mbaya sana huyu mdudu sema tu kwa sababu ni jike la sivyo angeshateketezwa zamani!!Picha inajieleza.
View attachment 3560798
Huyo mdudu namchukia sanaUlivosema mdudu nilidhani nguruwe bwashee.
Kaniamsha usiku usiku nipulize dawaAnopheles mbaya sana huyu mdudu sema tu kwa sababu ni jike la sivyo angeshateketezwa zamani!!
Ipo kwa kujifichafichaKwani Malaria ipo?
Namchukia sanaFala sana uyu
Anafanya watu wanakosa usingizikabla sijafungua nilijua tu ni mbu mdudu mshenzi sana leo nimeanza dozi ya mseto anasababisha nakosa mbususu kesho kizembe sana.
kwahiyo haujalalaKaniamsha usiku usiku nipulize dawa
Nilitoka kidogo ila nililala alishafanywa kitu kibayakwahiyo haujalala
Mmmh unamaanisha Ulaya hakuna vijiji?Unapo sema Dunia ingekua sehemu salama una maanisha nn? Usiseme Dunia sema Africa 🌍 ulaya hakuna mbu
Hao wadudu wanapenya mchana milango ikiwa inafunguliwa na hizi mvua wanazaliana sana kwanye madimbwa kwa hio usiku kwenye kufunga na kufungua wanaingiaMnawaruhusu vp wapite ndani, mmeshindwa kuwadhibiti kwa Fiber net? Kwenye madirisha
Misri hakuna mbu ni ziro malaria.. elewa ulaya hakuna mbu.. mbu wapo Africa tuMmmh unamaanisha Ulaya hakuna vijiji?
Kwani Misri ni Ulaya au Africa? Ila nimekuelewa mkuu sababu ni Geographical Isolation au sababu ni nini wana udhibiti mkubwa sana?Misri hakuna mbu ni ziro malaria.. elewa ulaya hakuna mbu.. mbu wapo Africa tu