2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.
2015 utailinganisha na 2015. Unaota au vipi?
Kwani Mlishinda kwa kura halali?
Nilikua sehemu moja kura za Jumla za Mkoa Fulani zilizotumwa ni tofauti na zilizosomwa kwenye Tume.
Masanduku yalikua yana kura nyingi bandia. Wakurugenzi walifanya uhuni mwingi sana . Kampeni za kikabila zilifanyika wazi wazi na Kuna mkanda kabisa ulikua unapelekwa kwa wafugaji kule Home ukidai kuwa wasimchague Lowsa mana atawanyang'anya ng'ombe zao na kuwapa Wamasai.
Ujinga mtupu. Mwaka huu kimekuja Chuma chenya Risasi mwilini na nyingine kumi na taona zipenya . Kinatembea kwa uwezo wa Mungu na kina hoja za kila MTU. Ukiongea asubuhi jioni kimekujibu. Hoja kwa hoja . Watu wanashindana kumpenda . Sio huyo wa CCM analazimisha Kura kwa nguvu na kutisha watu.
Watu mil 29 wamejiandikisha kupiga kura sasa hofu imehamia CCM mana wengi ni vjana .Hila zinafanywa kila kukicha.
Sioni mbunge wa CCM wa kumwangusha mpinzani. Hakuna hata mmoja. Hata majaliwa alitumia uovu ili apate muda wa kuwapigia kampeni wenzake mana mawaziri wote wetumia uovu na ushetani kuvunja haki za watu ili wazunguke kupiga kampeni kwa wengine. Rushwa inaendelea kuibeba CCM lakini Sasa Basi. Mnataka mshinde kwa 95 % ili iweje.?! Muue watu ili mpate 95% ili iweje? Kwa faida ya nani kama sio kulinda uovu wenu!!
Mpaka 28/10/2020 mtanyooka mana mlisema oooh kalale tu Chato mana hakuna Upinzani ?
Mara oooh hatutatumia wasanii tutatumia TOTI . Sasa Mwaka huu mtamtafuta mpaka Bishanga .
Mtagawa mpaka magazeti ya Sani .Mumpate Komredi Kipepe awasaie kuvuta watu kwenye mikutano.
Lisu ni Muujiza wa Mungu mwenyewe.
Ooh Korona imekoromewa na mtu !!
Ni nchi gani Afrika ina vifo vingi vya Korona??
Acheni kumdhihaki Mungu!!
Nyie mnasali kuliko Maka na Vatican kwa Papa anayesujudiwa na marais wa dunia nzima.