yaani wewe unatoa taarifa za uzinduzi ukiwa ufika kwenye kistuliHuyu ni mgombea ubunge wa jimbo la Kilolo kwa tiketi ya Chadema Jully Mpugulla akiomba kura kwa wananchi View attachment 1574819View attachment 1574820View attachment 1574821
CCM mwaka huu watapata majimbo yale waliyopitishwa na tume ya uchaguzi bila kupigiwa kura kinyume cha Katiba .
Mengine yote watapoteza...
Jiulize faida aliyopata Polepole na Bashiru kwa kutumia pesa nyingi kununua watu kama akina Katambi, Mashinji,Nasari, Lipumba, na kuwahonga vyeo huku CCM ikiwa na Maelfu ya watu wenye uwezo mkubwa sana waliofungwa kwa hofu na vitisho tuu na kunyimwa fursa ya kuonyesha uwezo wao eti wataonekana wamefanya kampeni...

According to your mindset.Nakwambia hivi, jiwe hafai kuongoza hata familia yake.
Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
2015,mlisaidiwa na ukawa. Safari hii hata wabunge 10 mkipata, shukuruni Mungu. Mmetepeta Sana, hamna Sera za kutuambia mmebaki kuomba huruma za wananchi tuwachague. Mtakula jeuri yenu.