A
Anonymous
Guest
Yaani wao wamekuwa hawadili na Watu wasio na Parking, Badala yake wanakamata hata ukiwa umempeleka Abiria Dukani au Popote ukiwa umewasha Double Hazard.
Tupazieni Sauti Boda Boda na Bajaj tunaonewa sana Kariakoo na hawa watu kiasi ambacho tunaichukia sana hii Serikali kwa sababu imeruhusu hawa Watu kuwatesa Wananchi wanaoangaika kwa sababu ya CCheo bila kujali utu na Maadili ya kazi yao👏
Pia soma ~ Halmashauri ya Jiji Dar: Hatukamati Wanaoshusha au kupakia abiria bali wanaoegesha kabisa