A
Afadhali umemuanika. Nachukia uoneziHawa Askari wamekuwa waonevu na wametengenezewa kichaka cha kula Rushwa kupitia kazi ya kukamata Bajaj na Bodaboda wasio na Vituo, hata ukisimama dukani unanunua kitu emergency wanakukamata.
Yaani wao wamekuwa hawadili na Watu wasio na Parking, Badala yake wanakamata hata ukiwa umempeleka Abiria Dukani au Popote ukiwa umewasha Double Hazard.
Tupazieni Sauti Boda Boda na Bajaj tunaonewa sana Kariakoo na hawa watu kiasi ambacho tunaichukia sana hii Serikali kwa sababu imeruhusu hawa Watu kuwatesa Wananchi wanaoangaika kwa sababu ya CCheo bila kujali utu na Maadili ya kazi yao👏
Tz tunaishi mwituni full kuviziana, the rule of the jungleGangster nation chukua chako mapema, nani unadhani atakusikia akusaidie?
Criminal state at the peak, jesus it doesn't get any lower than this.Hawa Askari wamekuwa waonevu na wametengenezewa kichaka cha kula Rushwa kupitia kazi ya kukamata Bajaj na Bodaboda wasio na Vituo, hata ukisimama dukani unanunua kitu emergency wanakukamata.
Yaani wao wamekuwa hawadili na Watu wasio na Parking, Badala yake wanakamata hata ukiwa umempeleka Abiria Dukani au Popote ukiwa umewasha Double Hazard.
Tupazieni Sauti Boda Boda na Bajaj tunaonewa sana Kariakoo na hawa watu kiasi ambacho tunaichukia sana hii Serikali kwa sababu imeruhusu hawa Watu kuwatesa Wananchi wanaoangaika kwa sababu ya CCheo bila kujali utu na Maadili ya kazi yao👏
Kila mmoja anatumia mamlaka yake kupata ulajiCriminal state at the peak, jesus it doesn't get any lower than this.
Huyu ni mgambo wa Manispaa kama amejitambulisha yeye ni askari wa jeshi la polisi huyo ni tapeli kama walivyo matapeli wengine tu.Hawa Askari wamekuwa waonevu na wametengenezewa kichaka cha kula Rushwa kupitia kazi ya kukamata Bajaj na Bodaboda wasio na Vituo, hata ukisimama dukani unanunua kitu emergency wanakukamata.