Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Nimeumia Waziri ameunda kamati ya uchunguzi wa tatizo
Msemaji wa serikali anasema umeme wa Taifa ni sawa wa nyumbani kwetu Reali ukikatika inazima lulu?
So so so stupid
Msigwa kaa chini sio kila kitu una majibu, aliyemwambia behewa au mabehewa yanaenda Dar Dodoma kuna shida Raia wanachunguza kuliko wewe Broo Tulia brooo.