Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana changamoto za umemeRaraa reree
Hujamaliza ku comments ameshalike iwe usiku iwe mchana halafu iko kama hana changamoto za umeme
Hahaa uwiiiKuna accounts nyingine zinaendeshwa na zaidi ya mtu mmoja.
Ni kundi la watu wanapeana shift.
Wee jina gani hilo 😄Kimarioo unaitwa huku raraa reree
😂😂😂
zari la mentali mkuu 😂😂Wee jina gani hilo 😄
Embu punguza o moja tafadhali kama sio jina lote 😄zari la mentali mkuu 😂😂
Haha Kim kama Kim 😂😂Embu punguza o moja tafadhali kama sio jina lote 😄
Acha zako bhana alolo apeche hapaHana changamoto za umeme
Hana changamoto za bando
Hana changamoto za madeni
Kwa kifupi ni free soul 😂😂
Nitakuwa nakuita manka na wewe 😄Haha Kim kama Kim 😂😂
Kumbe ni Kimario
Aloloo tuko huku VPN hatuna bando 😂Acha zako bhana alolo apeche hapa
Wee manka tuliaHahaaa tulia Kimario
Sisi ni members ila raraa reree na Extrovert na Half american na min -me ni marobot😃Pia depal na leejay49 mashallah si haba
Kimetokea nini tena 😂Pia depal na leejay49 mashallah si haba
Kwani rara reree mwenyewe anasemaje?!🤣🤣🤣😅😅Raraa reree
Hujamaliza ku comments ameshalike iwe usiku iwe mchana halafu iko kama hana changamoto za umeme