Huyu ni mzalendo

Kwa kweli ni mzalendo haswa. Yapaswa watoto wetu wafunzwe haya mambo wangali wadogo ili wakikuwaw wawe na moyo wa huruma na kujali shida za wengine
 
Duuuhh I'm speechless " .... ukisikia definition ya charity ndio hiyo sasa
 
Duuuhh I'm speechless " .... ukisikia definition ya charity ndio hiyo sasa
Unaamini kuwa watoto wote huzaliwa hawajui dhambi, uchoyo, ubaguzi, chuki ni mafunzo ya dunia.
 
napendeza sana

Watoto wakilelewa namna hii toka wakiwa wadogo; yaani kutokuwa wabinafisi na kujali wenzi wao [EMPATHY} hata wakija kuwa watu wazima na kupata uongozi hawawezi kuwa na roho za kikatili!!
 
Watoto wakilelewa namna hii toka wakiwa wadogo; yaani kutokuwa wabinafisi na kujali wenzi wao [EMPATHY} hata wakija kuwa watu wazima na kupata uongozi hawawezi kuwa na roho za kikatili!!
Ni kweli kabisa kiongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…