Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maana halisi ya uzalendo
Kwa kweli ni mzalendo haswa. Yapaswa watoto wetu wafunzwe haya mambo wangali wadogo ili wakikuwaw wawe na moyo wa huruma na kujali shida za wengine
Naam naamini hilo " tena sanaUnaamini kuwa watoto wote huzaliwa hawajui dhambi, uchoyo, ubaguzi, chuki ni mafunzo ya dunia.
Dada mwaka bado, leo ni boxing day! Ila asante sana dadangu!Marahaba. Ninakutakia Kheri ya mwaka mpya.
napendeza sana
Sawa my dear... Blessed loveNinalijua hilo sana tu mpenzi