JanguKamaJangu
JF-Expert Member
- Feb 7, 2022
- 2,780
- 6,607
Alicheza Man United?Michael Owen
Alicheza, tena kwa mafanikio...Alicheza Man United?
Aliwafunga city bao la ushindi game iliisha kwa 4-3......kocha wa city alikua mark hughesAlicheza Man United?
Ndio na aliwafunga city mechi moja utd wanashinda 4-3 km skoseiAlicheza Man United?
NdioAlicheza Man United?
Hata Owen hakucheza everton kwenye mpira wa ushindaniNilidhani ni CR7 kumbe hakucheza Everton huyo atakuwa Michael Owen
SahihiNdio
Michael OwenMdau wa soka, huyu mchezaji amefanikiwa kufunga magoli katika mechi zinazohusisha upinzani wa jadi wa Timu za Mji mmoja ‘Dabi’ na katika ushindani wa timu kubwa zenye upinzani kutoka miji tofauti Nchini England na Hispania.
Amefunga katika mechi ya Liverpool vs Everton, Barcelona vs Real Madrid na Manchester City vs Manchester United.
Mdau wa Michezo, Je, Mchezaji huyu ni nani?
Ndiyo,timu yake yanmwishoAlicheza Man United?
KosaGudjohsen mnyama mkali