Huyu ni nani?



let x= tumain
y=bongoflava artist
z=merei b


if x = y then y:z=1
but since x=y then x:z=1

hallow mathematicians.....
 
Huyu kesi yake ya kuiibia Barclays ilifutwa na DPP katika mazingira ya kutatanisha sana. Niliwahi kusikia pia kuna dada yake au ndugu yake mwingine wa karibu kaolewa na Muungwana. Mwenye data kuhusu hili atumegee.
 
Na Happiness Katabazi

MFANYABIASHARA maarufu nchini, Merey Ally Saleh, maarufu kwa jina la Merey Balhabou na mwenzake, Abdallah Said Abdallah, waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya wizi wa dola milioni 1.08 (zaidi ya sh bilioni moja) , wamefutiwa mashitaka.

Washitakiwa hao wamefutiwa mashitaka baada ya Mkurugenzi wa Mashitaka nchini (DPP) kuwasilisha hati ya kuwafutia mashitaka washitakiwa hao katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Merey na mwenzake, wameachiwa huru chini ya kifungu 91(1) cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai, ambacho kinampa mamlaka DPP kuwaondolea mashitaka watuhumiwa.

Kuachiliwa kwa washitakiwa hao kunafanya washitakiwa katika kesi hiyo kwa njia ya mtandao wa kompyuta, mali ya Benki ya Barclays kubaki tisa.

Washitakiwa waliobaki katika kesi hiyo ni Winford Mwang’onda, Shubira Mutungi, Naima Saria, Upendo Mushi, Magreth Longway, Emmanuel Mukoni na Ramadhani Khamis, ambao ni wafanyakazi wa benki hiyo na mfanyabiashara, Justice Rugaibura.

Washitakiwa hao Oktoba 29-30 mwaka jana, walikula njama katika eneo lisilofahamika jijini Dar es Salaam, walifanya udanganyifu na kuiibia benki hiyo fedha hizo.

Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima la Jumanne, Novemba 3,2009
 
Huyu Hubert Marwa mbona simfahamu .....!?? Nipeni wasifu..redio gani anamiliki?

Au ni yule wa Moro Utd?
 
Ndio huyo, pia anahusishwa na kuwatembelea wanaume (tena maarufu hapa mjini) kinyume na maumbile... kasaidia "chama chetu" pia

Hii balaa, kama jamaa ana tabia ya kupenda migongo ya waume, hicho chama chenu kipo hatarini.
 
Hii balaa, kama jamaa ana tabia ya kupenda migongo ya waume, hicho chama chenu kipo hatarini.

njaa, unataka kutueleza kuwa ameshapitia migongo ya wanaume wengi wa chamani?
 
najua kua ni mfanya biashara .Naalikua kwenye kesi ya kutapeli pesa bank na anajenga kiwanda cha cemet mbagala. kinajiita dar cement
 
leteni facts ambazo zitasaidia kumjua mtu sio mahusiano yetu ya binafsi. Mimi nimemsikia huyo jamaa nikaambiwa ni tajiri lakini vile vile anajihusisha na biashara zisizo halali kama kuchukua mafuta yaliyosafirishwa nje na kuyauza hapa nchini na kadhalika. wadau leteni facts sio kutembea na wanaume coz hizi story tunasikia sana kwa kila mtu na most of them ni uzushi tu.
 

Its Albert and not Hubert, unless awe amebadilisha jina hivi karibuni. Alikuwa anamiliki radio ya kiislamu, lakini aliiuza. Yeye mwenyewe ni mganda, alikuwa adopted na Major General Marwa wakati wa vita na Uganda. Ilikua amuoe mtoto wa JK, sijui kama hio harusi ilifanyika au vipi, maana kulikua na zengwe.
 
Ana mambo mengi ya ajabu nasikia hata ugomvi au mabifu mengi ya wanahipop/muziki kizazikipya yeye ni chanzo japo sina ushahidi lkn nasikia ni basha wa vijana wengi wa hipop yeye ni mzee wa kuwapa mabaloon

kuna mamiss wamewahi kufia kwa swimming pool yake lakin sijui aliisaidiaje polisi
 
Facts ni muhimu kuliko umbea. Vijana tuna nafasi kubwa kubadilisha hii nchi so tulete vitu vyaukwel, hope tutajenga na sii kubomoa.
 
Tena hana hiyana ya kuwatembelea sana wasanii wa Bongo fleva!
 

Naomba unipatie sheria ipi inayo mruhusu mhalifu/mtuhumiwa kuhudhuria vikao/ama kufanya shughuli za kijamii kesi ikiwa mahakamani.
Pia hata kwenye usaili wowotte ule ama hata huko serikalini kuna vipengele vinahoji kama mtu alishawahi kujihusisha na any criminal ofense ama hali yoyote ya kuvunja sheria za serikali na mambo yanayofanana na hayo.
Sasa hawa walopelekwa mahakamani wamo bungeni na hela yetu wana kula,je ndo utawala wa sheria huo ama??

ufafanuzi tafadhali.
 

Radio mbao zinadai kwamba alibadirisha dini ili amuoe binti wa JK, watoto wa mjini wanasema kuwa muungwana alishtukia kuwa ni usanii ndio akaweka zengwe.
 

Kwa habari za kuaminika huyo jamaa hajaoa bado mtoto wa JK kutokana na ukweli kuwa alitumwa na kundi lake kuoa pale ili wapate kinga kibiashara si unajua tena. lakini nasikia Mzee K kashtukia dili na akasitisha shughuli lakini kazaa na binti huyo wa first family. Jamaa alibadili hadi dini na kuwa Muislamu-watu wan target! Hizo ni nyeti tu
 

Mkuu hawa jamaa kiwanda chao cha cement kipo mbagala kinaitwa Dar es salaam port land cement
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…