Huyu ni nani?

Huyu ni nani?

Hi Mauza uza nakuunga mkono utajiri awe nao lakini siyo waje hapa Tanzania wanajifanya wajanja, wajuaji na waanza kutuibia tena kwa sana.
 
Bwana huyu anauhusiano wa karibu na mh shabiby na ninavyosikia pia wanauhusiano wa mbali kina bakhresa, lakini hawana good terms kwakuwa huyu bwana yupo sana kwenye shady business.....anamiliki hotel dodoma....kuna ishu kwamba wanajenga kiwanda kikubwa sana sehemu za kusini ( nazani ni cha cement) ila wao ilikuwa nia ni kupiga pesa ndefu lakini investors walishtuka kwa hiyo ile pesa haipiti mkononi mwao...too bad...ila jamaa huyu ni mafia.....ni mtu mwenye moyo wa kusaidia nasikia ila pia ni mtu wa wanawake sana...

MMMH Mwenye moyo wa kusaidia watu...mtu wa wamawake sana...Inanikumbusha Heroine tycoon PABLO ESCOBAR(changa la macho)
 
Mkuu hawa jamaa kiwanda chao cha cement kipo mbagala kinaitwa Dar es salaam port land cement

Mkubwa,
Hiki kiwanda kishaanza kuzalisha saruji? Ina jina gani hiyo bidhaa yao?
 
Hapa ndiyo JF ambapo mambo yake si ya kubahatisha na kubabaisha.
Nimeogopa mno na hii ishu iliyoibuliwa ktk thread hii. Sina shaka kabisa kwamba kuna WATANZANIA wenzetu ni wazalendo kuliko viongozi wetu ambao waliapa kuilinda katiba na kuitetea.

Mwanakijiji tuletee ripoti tuisome shekhe, safari hii usituuzie maana hela zimeishia ktk michango ya harusi na ada za watoto usisahau msimu wa sikukuu na nyumba ndogo...
 
Yaani hii is a 'must read' thread ngoja niwashtue na vipofu wengine kama mie wasome lol??!! Yote tisa!! Kweli nakumbuka issue ya mabinti kufia swimming pool jamani na habari zetu kama kawa zinaishiaga.. Uchunguzi bado unaendelea!!!?? Hii nchi inaweza kuwa si kubwa kivile but ikaongoza kwa habari za chini ya carpets...it is threatening!!
 
.
Baba Enock, tuwe wakweli, hatari ni kijana mdogo Hubert alietake advantage ya mchongo, au the insiders waliotoa mchongo?.

Both of them - ni wa kuogopwa kama UKOMA

Jeshi linaagiza kila kitu bila kulipa kodi. Ukibahatika kuwa supplier hivi wewe supplier ndio hatari, ama waliosuka mchongo wa tax free na walioupitisha?.
Hizi tender za bahati ndio UFISADI wenyewe!

Ni kweli watanzania wengi, ni masikini wa kutupa, wanaishi for less than a $ a day!. Hii isiwe sababu ya kumchukia kila self made millionaires wether kwa njia halali au kwa njia za mkato.

Pasco - self made millionaires kwa NJIA ZA MKATO ndio walitufikisha hapa na hao ndio kwa lugha nyepesi ndio wahujumu uchumi wetu.

Nashangaa sana watanzania kupenda kushadidia WEZI - Hatuwezi kuwa na sustainable development kwa kupata tender kwa bahati au kwa kutengeneza matajiri wa njia za mkato! NO NEVER ON EARTH!

Kwani tunapowasema akina RA, YM, e.t.c wote hawa ni "self made millionaires" as per your definition. Lakini swali kubwa how did they? Ukihararisha utajiri wa Albert basi RA na YM ni watakatifu pia!

member mmoja humu aliwahi kuandika mahali 'get rich or die trying'.
Tusijeonekana hasira za baadhi yetu ni sizitaki mbichi hizi, ila hiyo michongo ingewakalia wao ndio mji ungewakoma.

Pasco - maana ya neno michongo ni "tender za bahati" aka "...lazima uliwe hili ule..."! Sitegemei na wewe kama unaishi kwa michongo..If that is the case..SAFARI BADO NI NDEFU

MWIZI NI MWIZI na MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA WOTE ADHABU YAO NI ILE ILE!
 
Hii balaa, kama jamaa ana tabia ya kupenda migongo ya waume, hicho chama chenu kipo hatarini.

hicho chama ni chama cha mapinduzi yaani CCM (uswahilini hutambulika hivyo)
 
Mwanakijiji tuletee ripoti tuisome shekhe, safari hii usituuzie maana hela zimeishia ktk michango ya harusi na ada za watoto usisahau msimu wa sikukuu na nyumba ndogo...

sasa tusipochangia kidogo hiyo gharama ya kuandaa ripoti analipia nani maana na mimi michango na siku kuu navyo vinanigusa;
 
Mamilionea wa Tanzania akina Muzamil,Papa Musofe hao wote wamepata utajiri kwa jasho lao na bidii zao teh teh Tanzania bwana imekuwa kama Banana republic!!
 
Both of them - ni wa kuogopwa kama UKOMA

Hizi tender za bahati ndio UFISADI wenyewe!

Pasco - self made millionaires kwa NJIA ZA MKATO ndio walitufikisha hapa na hao ndio kwa lugha nyepesi ndio wahujumu uchumi wetu.

Nashangaa sana watanzania kupenda kushadidia WEZI - Hatuwezi kuwa na sustainable development kwa kupata tender kwa bahati au kwa kutengeneza matajiri wa njia za mkato! NO NEVER ON EARTH!

Kwani tunapowasema akina RA, YM, e.t.c wote hawa ni "self made millionaires" as per your definition. Lakini swali kubwa how did they? Ukihararisha utajiri wa Albert basi RA na YM ni watakatifu pia!

Pasco - maana ya neno michongo ni "tender za bahati" aka "...lazima uliwe hili ule..."! Sitegemei na wewe kama unaishi kwa michongo..If that is the case..SAFARI BADO NI NDEFU

MWIZI NI MWIZI na MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA WOTE ADHABU YAO NI ILE ILE!

Baba Enock,
mimi naomba Masihi arudi haraka maana kwa mtizamo kama wa Pasco tumekwisha au kwa maneno mengine tunaangamia.
 
Both of them - ni wa kuogopwa kama UKOMA
Hizi tender za bahati ndio UFISADI wenyewe!

Pasco - self made millionaires kwa NJIA ZA MKATO ndio walitufikisha hapa na hao ndio kwa lugha nyepesi ndio wahujumu uchumi wetu.

Pasco - maana ya neno michongo ni "tender za bahati" aka "...lazima uliwe hili ule..."! Sitegemei na wewe kama unaishi kwa michongo..If that is the case..SAFARI BADO NI NDEFU

MWIZI NI MWIZI na MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA WOTE ADHABU YAO NI ILE ILE!

Baba Enock, 'mchongo ni inside trading', inaoparate on commision na kick back, kama hiyo ndio uliomanisha ili ule, lazima uliwe.. then you are right. Mimi ninavyoishi its very unfortunately, sijabahatika kuishi kwa mchongo wowote poor me, tena thanks to Invicible na JF, almanusra ningekuwa ombaomba.
 
Back
Top Bottom