Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bwana huyu anauhusiano wa karibu na mh shabiby na ninavyosikia pia wanauhusiano wa mbali kina bakhresa, lakini hawana good terms kwakuwa huyu bwana yupo sana kwenye shady business.....anamiliki hotel dodoma....kuna ishu kwamba wanajenga kiwanda kikubwa sana sehemu za kusini ( nazani ni cha cement) ila wao ilikuwa nia ni kupiga pesa ndefu lakini investors walishtuka kwa hiyo ile pesa haipiti mkononi mwao...too bad...ila jamaa huyu ni mafia.....ni mtu mwenye moyo wa kusaidia nasikia ila pia ni mtu wa wanawake sana...
Mkuu hawa jamaa kiwanda chao cha cement kipo mbagala kinaitwa Dar es salaam port land cement
mi simjui
.
Baba Enock, tuwe wakweli, hatari ni kijana mdogo Hubert alietake advantage ya mchongo, au the insiders waliotoa mchongo?.
Hizi tender za bahati ndio UFISADI wenyewe!Jeshi linaagiza kila kitu bila kulipa kodi. Ukibahatika kuwa supplier hivi wewe supplier ndio hatari, ama waliosuka mchongo wa tax free na walioupitisha?.
Ni kweli watanzania wengi, ni masikini wa kutupa, wanaishi for less than a $ a day!. Hii isiwe sababu ya kumchukia kila self made millionaires wether kwa njia halali au kwa njia za mkato.
Kunu
member mmoja humu aliwahi kuandika mahali 'get rich or die trying'.
Tusijeonekana hasira za baadhi yetu ni sizitaki mbichi hizi, ila hiyo michongo ingewakalia wao ndio mji ungewakoma.
Hii balaa, kama jamaa ana tabia ya kupenda migongo ya waume, hicho chama chenu kipo hatarini.
Mwanakijiji tuletee ripoti tuisome shekhe, safari hii usituuzie maana hela zimeishia ktk michango ya harusi na ada za watoto usisahau msimu wa sikukuu na nyumba ndogo...
sasa tusipochangia kidogo hiyo gharama ya kuandaa ripoti analipia nani maana na mimi michango na siku kuu navyo vinanigusa;
Mwanakijiji hiyo report tutaichangiaje maana najua utaibandika hapa JF ..??
😉
hapana.. hii haijabindikwi popote ndugu yangu... siyo kama ya Meremeta. Ni zile zinazoitwa "FYE Only"..
well noted tutaipataje ?
I have no clue right now!! wakimaliza kina Enigma.. I should be able to tell..
Both of them - ni wa kuogopwa kama UKOMA
Hizi tender za bahati ndio UFISADI wenyewe!
Pasco - self made millionaires kwa NJIA ZA MKATO ndio walitufikisha hapa na hao ndio kwa lugha nyepesi ndio wahujumu uchumi wetu.
Nashangaa sana watanzania kupenda kushadidia WEZI - Hatuwezi kuwa na sustainable development kwa kupata tender kwa bahati au kwa kutengeneza matajiri wa njia za mkato! NO NEVER ON EARTH!
Kwani tunapowasema akina RA, YM, e.t.c wote hawa ni "self made millionaires" as per your definition. Lakini swali kubwa how did they? Ukihararisha utajiri wa Albert basi RA na YM ni watakatifu pia!
Pasco - maana ya neno michongo ni "tender za bahati" aka "...lazima uliwe hili ule..."! Sitegemei na wewe kama unaishi kwa michongo..If that is the case..SAFARI BADO NI NDEFU
MWIZI NI MWIZI na MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA WOTE ADHABU YAO NI ILE ILE!
Both of them - ni wa kuogopwa kama UKOMA
Hizi tender za bahati ndio UFISADI wenyewe!
Pasco - self made millionaires kwa NJIA ZA MKATO ndio walitufikisha hapa na hao ndio kwa lugha nyepesi ndio wahujumu uchumi wetu.
Pasco - maana ya neno michongo ni "tender za bahati" aka "...lazima uliwe hili ule..."! Sitegemei na wewe kama unaishi kwa michongo..If that is the case..SAFARI BADO NI NDEFU
MWIZI NI MWIZI na MTOA RUSHWA NA MPOKEA RUSHWA WOTE ADHABU YAO NI ILE ILE!