FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
MMMJ
Utafiti wako vipi?
Huwa hana utafiti huyo, ni pumba tu. Watafiti wanatafuta source kwenye forums? Ananchekesha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MMMJ
Utafiti wako vipi?
Na aliyeamuru kampuni kufungwa kama sikosei ni EL
hilo sio swali lazima yupo chamani huyu.....Mmh! CV Bab kubwa. Hayumo kwenye Chama pia huyu? In any case, tunaisubiri kwa hamu hiyo ripoti inayofanyiwa kazi na Mzee wa kazi -MmKjj. Ingekuwa sie wengine tungeshabwaga manyanga baada ya mtiririko huo wa misifa. 😛
.
Mzee Mwanakijiji, jina la huyu jamaa limeibuliwa bungeni leo. Aliyeliibua ni Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, John Cheyo wakati akitoa maoni ya Kamati yake kuhusiana na taarifa za ukaguzi ya CAG. Mzee Cheyo ameliambia bunge kuwa huyu jamaa, nadaiwa zaidi ya bilioni 8 za serikali. Jamaa huyu ana kiburi cha ajabu, ameliomba bunge liiagize serikali imchunguze kujua kiburi hiki anakipatia wapi.
Japo Cheyo hakusema ni deni la nini na ni kiburi gani, nadhani majibu yanapatikana ndani ya taarifa ya CAG kuhusu hesabu za serikali kuu.
Pia nakumbushia, bado tunaisubiria dossier yako.
tumpe muda miaka mingapi? Mbona imekuwa kazi ya kiswahili. Manake ripoti za tume hazitoki hadi itokee ajali nyingine ya meli,kha!Mzee Mwanakijiji atakuwa bado anaiandaa,tuwe wavumilivu tumpe muda.
sasa unaeujua ukweli si useme. Au hadi tukugawie pilau isiyo na nyama?Siyo kweli.
Labda yuko busy ama amebadili mawazo?kwasababu sidhani kama haoni tumemmention lakini nadhani hataki kurudi tena hapa,why i dont know.Labda uchunguzi wake haujakamilika?tumpe muda miaka mingapi? Mbona imekuwa kazi ya kiswahili. Manake ripoti za tume hazitoki hadi itokee ajali nyingine ya meli,kha!
huyu jamaa alikuwa mwizi ameiba sana sukari kilombero kwa kutumia vibali bandia na mara nyingi alikuwa akikamatwa na kuwekwa ndani alikuwa anaiba magari kwa magari baadae akapotea alipoibika alikuwa na meliza mafuta akaanza kujenga matenki huko Tanga wakati Mboma mkuu wa majeshi alipata tenda ya kusambaza mafuta jeshini kwa sababu mafuta ya jeshi hayalipiwi ushuru alikuwa anasambaza nje ya jeshi ndio chanzo cha kupitisha sheria ya kuweka rangi kwenye mafuta,pia alikuwa na kesi ya kukwepa ushuru kati yake na TRA lakini hiyo kesi haiishi mpaka iliwahi kulalamikiwa kwenye kamati za bunge.Anatoa pesa nyingi kwa wanasiasa kabla ya hata kupata rais wa awamu ya nne na wengi waliopewa pesa sasa hivi wana nyazifa nzito nchini na mmoja wao anajinadi ni mpinga ufisadi kupitia Mboma alipata tenda ya kusafirisha mafuta Kongo hayo majina sitaki kuyataja ila nategemea utayapata kupitia vyanzo vingine
Kwa mujibu wa ile kesi ya Kuiibia benki, jamaa alishirikiana na wafanyakazi kuiba pesa kwa njia ya mtandao (online fraud) siyo hard cash! Hapa ndipo usumbufu wa kuhukumu kesi ulipokuwa, kwa sababu Tanzania bado hatuna sheria madhubuti za wizi kwa njia ya mtandao.
Kwa wale mnaopenda kusikiliza nyimbo za Mr. Nice na Ben Kinyaiya, wamemuimba sana mtu huyu (Mzee wa TIOT). Hawa nao, pamoja na wanamuziki wengine wengi tu, huyu ni mfadhili wao, siyo sisiemu tu!
Yaani hii is a 'must read' thread ngoja niwashtue na vipofu wengine kama mie wasome lol??!! Yote tisa!! Kweli nakumbuka issue ya mabinti kufia swimming pool jamani na habari zetu kama kawa zinaishiaga.. Uchunguzi bado unaendelea!!!?? Hii nchi inaweza kuwa si kubwa kivile but ikaongoza kwa habari za chini ya carpets...it is threatening!!
Uchunguzi bado unaendelea ama ulishazimika au...Tuko katika kufanyia kazi ripoti moja muhimu sana; jina moja limeongezewa:
Merei Balhaboo
Je mwamjua huyu jamaa pale Morogoro?
Huwa hana utafiti huyo, ni pumba tu. Watafiti wanatafuta source kwenye forums? Ananchekesha!