Holly Star
JF-Expert Member
- Aug 25, 2018
- 4,327
- 8,142
Namjua kwa kisukuma tu anaitwa starfish ukienda ferry wapo wanauzwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu mdudu wapo species karibu 2000 duniani kote. Hawa wa huku kwetu gamba au ngozi yake ina sumu kali ikiliwa au ikigusa zile sehemu za ndani ambazo hazina sumu.Kwanini haliwi, ana nini? Naomba kujua
Dah wachinaHuyu mdudu wapo species karibu 2000 duniani kote. Hawa wa huku kwetu gamba au ngozi yake ina sumu kali ikiliwa au ikigusa zile sehemu za ndani ambazo hazina sumu.
Kinachowashinda wengi ni maandalizi yske maana inaihitajika uangalifu sana na muda mrefu. Ni kama unakuwa huna uhakika iyo sumu umeitoa yote na gozi ya nje au nyingine imebaki. So watu wengi wameamua kuachana nae, ila wachina na baadhi ya mataifa ya asia kama kawa wangagonga tuu.
ukiwa na aftatu unampataa!Ben huyu si Yule wa aftatu
STAR FISH HUYO BOSS
ni kutokuwa na umakini tu ndio maana wanaojua vitu vizuri hawamuachiiHuyu mdudu wapo species karibu 2000 duniani kote. Hawa wa huku kwetu gamba au ngozi yake ina sumu kali ikiliwa au ikigusa zile sehemu za ndani ambazo hazina sumu.
Kinachowashinda wengi ni maandalizi yske maana inaihitajika uangalifu sana na muda mrefu. Ni kama unakuwa huna uhakika iyo sumu umeitoa yote na gozi ya nje au nyingine imebaki. So watu wengi wameamua kuachana nae, ila wachina na baadhi ya mataifa ya asia kama kawa wangagonga tuu.
Ila ni risk kumla mkuu. Ila warafi wa Samaki na nyama huwa hawaelewi kituni kutokuwa na umakini tu ndio maana wanaojua vitu vizuri hawamuachii
walafi watakula samaki mzima alafu watakuwa wamekula na sumu lakini wale ambao sio walafi watafata maelekezo.Ila ni risk kumla mkuu. Ila warafi wa Samaki na nyama huwa hawaelewi kitu
Huyo kiumbe anaitwa Sea star au "starfish" kama walivyosema wadau hapo juu. Lakini huyo kiumbe kwa viwango vyoyote vile yeye sio samaki.
phylum echinodermosmata(starfish)